Kuna haja ya kupunguza mashindano, utitiri huu wa ligi unazichosha sana timu, mwakani mashindano mawili ya ziada yameongezeka

Kuna haja ya kupunguza mashindano, utitiri huu wa ligi unazichosha sana timu, mwakani mashindano mawili ya ziada yameongezeka

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Huu utitiri wa mashindano hauna afya, mwakani Yanga na Simba (au azam) zitashiriki

1. Caf ligi ya mabingwa
2. African Super league
3. Ligi kuu bara
4. Ligi ya muungano
5. FA
6. Mapinduzi cup
7. Ngao ya jamii

Ushauri

1. Ligi mpya ya muungano na mapinduzi cup ziunganishwe

2. Ngao ya jamii irudi kama zamani kuwe na timu 2, mechi moja
 
Hakuna haja ya kupunguza ikibidi yaongezwe
Watu wamewekeza hela ili kupata faida mpira ni biashara ya watu
Pesa inapatikana kwenye hayo mashindano yanayoanzishwa, kuhusu wachezaji kuchoka sio sababu, mshahara wanalipwa ili wautumikie

Muhimu kua na kikosi kipana kama Yanga🤸
 
Sasa Caf champions league, AFL, mapinduzi cup na ngao ya jamii nayo ni mashindano ya kuyalalamikia wakati ukiyapanga kila mechi ichezwe siku moja hayawezi kumaliza mwezi yanakuwa yameshajifia huko
 
Hizo timu za Zanzibar si zijumuishwe kwenye lig ya tz,kwani sisi si wamoja?
 
Back
Top Bottom