johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bashe na RA wanafanana sana.Bashe ni bepari mshamba
Ubinafsishaji uko wa aina mbalimbali bwasheeMara CRDB ilibinaifishwa halafu tena mara ni bank ya serikali, sasa tukuelewe vipi?
Anyway, siungi mkono hii bank kuchukuliwa na serikali mana itakuwa ya hovyo kama baadhi ya mashirika mengine ya kiserikali.
Kama Ilikufa mbona serikali ina Hisa zake pale CRDBMkuu, Cooperative and Rural Development Bank ilikufa, CRDB Bank (1996) Ltd ambayo ilijibadili na kuwa CRDB Bank PlC alipandia na kudesa vizuri CRDB ya zamani ilikuwa ni bank ya ushirika na maendeleo vijijini.
Hii CRDB ya sasa ni commercial bank na haina element zozote za ilikuwa CRDB ya enzi ya Nyerere.
Hapa tuanze upya kwa kurejesha bank ya Nyumba ikiwamo kuwarudishia assets zao za majengo na wapewe mtaji ili kujenga nyumba na wazo za Bashe lisipigwe nyundo bali liboreshwe.
Majaribio ya nini?... endeleeni kuifanya Tanzania nchi ya majaribio as usual.
Watanzania hapa ndipo tunapofeli, ajira ziwe za mkataba, usipofanya vizuri, kibarua kinaota nyasi! serikali inahofu gani angali sasa wapo wahitimu wengi?Ilikirudi serikalini inakufa kifo cha mende. Taasisi nyingi za serikali ziko hoi.
Nida wakishakupa namba ndiyo basi tena kitambulisho hupewi. Pale kumejaa vidada unaenda kama havikuoni viko busy vinapiga story tu kuhusu mabwana na waume zao.
Yani sijui aliyeturoga nani. Nadhani mfumo unaowalinda watumishi wa umma uanchangia wao kuwa wavuvi kazini.
Watanzania tunapenda Tarabu mno kuliko kazi, mchina wakati anajenga Tazara, alikuwa na msemo wake"wala wala minga kazi hamne" aliona hilo. Kwenye majukwaa ni hodari mno, njoo utekelezaji ni minus zero.Ilikirudi serikalini inakufa kifo cha mende. Taasisi nyingi za serikali ziko hoi.
Nida wakishakupa namba ndiyo basi tena kitambulisho hupewi. Pale kumejaa vidada unaenda kama havikuoni viko busy vinapiga story tu kuhusu mabwana na waume zao.
Yani sijui aliyeturoga nani. Nadhani mfumo unaowalinda watumishi wa umma uanchangia wao kuwa wavuvi kazini.
Ilikirudi serikalini inakufa kifo cha mende. Taasisi nyingi za serikali ziko hoi.
Nida wakishakupa namba ndiyo basi tena kitambulisho hupewi. Pale kumejaa vidada unaenda kama havikuoni viko busy vinapiga story tu kuhusu mabwana na waume zao.
Yani sijui aliyeturoga nani. Nadhani mfumo unaowalinda watumishi wa umma uanchangia wao kuwa wavuvi kazini.
Kama Ilikufa mbona serikali ina Hisa zake pale CRDB
Wengi waliamini kama wewe lakini Mzalendo namba 2 hayati Magufuli akatufumbua macho
Sasa kama wakuu wa nchi ni taarabu kwenda mbele na sisi ni kina nani basi tusionje kilichomo ndani yakhe. Akija mpindua meza na kuweka kazi kazi majungu kama yote.Watanzania tunapenda Tarabu mno kuliko kazi, mchina wakati anajenga Tazara, alikuwa na msemo wake"wala wala minga kazi hamne" aliona hilo. Kwenye majukwaa ni hodari mno, njoo utekelezaji ni minus zero.
Kama Ilikufa mbona serikali ina Hisa zake pale CRDB
Wengi waliamini kama wewe lakini Mzalendo namba 2 hayati Magufuli akatufumbua macho
Mkuu, Cooperative and Rural Development Bank ilikufa, CRDB Bank (1996) Ltd ambayo ilijibadili na kuwa CRDB Bank PlC alipandia na kudesa vizuri CRDB ya zamani ilikuwa ni bank ya ushirika na maendeleo vijijini.