Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
RA mjanja sana. Hata Mtikila alimshindwa akaishia kukopeshwa hela na RABashe na RA wanafanana sana.
RA born town kitambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RA mjanja sana. Hata Mtikila alimshindwa akaishia kukopeshwa hela na RABashe na RA wanafanana sana.
TIB wana Lumumba mlikopeshana hadi mkaifilisi. Mlipoona hamuwezi kuwadai makada wenu mkaamua kuiunganisha na TPB na Twiga Bancorp.CRDB ilikuwa Bank ya serikali lakini ikabinafsishwa GM akiwa huyo Kimei au John Rubambe sikumbuki vizuri
Tulikuwa pia na Benki ya Nyumba THB, Benki ya Posta TPB, Benki ya Rasilimali TIB, Benki ya Biashara NBC na Benki Kuu BoT
Mwigullu Nchemba hebu turejeshee THB tafadhali
Na wewe Bashe acha kulia lia CRDB ni Benki ya serikali na kirefu chake ni Cooperative and Rural Development Bank sass inataka kuanzisha Benki nyingine ya nini?
Mungu anawaona mjue
Soma au uliza ujifunze...Hicho sio kirefu cha CRDB. Hiyo ni CRDB BANK LIMITED hiyo unayosema ilishakufa kitambo.CRDB ilikuwa Bank ya serikali lakini ikabinafsishwa GM akiwa huyo Kimei au John Rubambe sikumbuki vizuri
Tulikuwa pia na Benki ya Nyumba THB, Benki ya Posta TPB, Benki ya Rasilimali TIB, Benki ya Biashara NBC na Benki Kuu BoT
Mwigullu Nchemba hebu turejeshee THB tafadhali
Na wewe Bashe acha kulia lia CRDB ni Benki ya serikali na kirefu chake ni Cooperative and Rural Development Bank sass inataka kuanzisha Benki nyingine ya nini?
Mungu anawaona mjue
Ilikufa lini?Soma au uliza ujifunze...Hicho sio kirefu cha CRDB. Hiyo ni CRDB BANK LIMITED hiyo unayosema ilishakufa kitambo.
Sasa mtu anaajiriwa kwa mkataba wa kudumu mpaka kifo kitakapowatenganisha na Serikali,unategemea nini,Kama siyo kufanya kazi kwa mazoea.