Kuna haja ya kurudisha Tanzania Housing Bank (THB) na kuichukua CRDB iwe ya Serikali kwa 100%

TIB wana Lumumba mlikopeshana hadi mkaifilisi. Mlipoona hamuwezi kuwadai makada wenu mkaamua kuiunganisha na TPB na Twiga Bancorp.

Wana Lumumba mtakuwa kuni kule shimo la moto
 
Soma au uliza ujifunze...Hicho sio kirefu cha CRDB. Hiyo ni CRDB BANK LIMITED hiyo unayosema ilishakufa kitambo.
 
Sasa mtu anaajiriwa kwa mkataba wa kudumu mpaka kifo kitakapowatenganisha na Serikali,unategemea nini,Kama siyo kufanya kazi kwa mazoea.

Na hili ndio tatizo letu kubwa. Hakuna haja ya kuwa mbunifu, kuwa na bidii wala kujifunza mambo mapya. Kama hatujabadilisha na kuanza kutoa mikataba tena ya kila mwaka na renewal ni dependent on funding and requirements - hatutaendelea kamwe. Ni kwa sababu tunayakataa mabadiliko kutoka ndani!!
 
Alafu hiyo bank ikianzishwa
Itafanya nini bwasheh

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…