Kuna haja ya kusambaza vipeperushi mitaani kukakataa kushirikiana na Wazanzibari

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Nikiwa sina hili wala lile nimekutana na habari kuwa Zanzibar haina hela ya kuwatibia Watanzania wanaokaa Zanzibar kwa sababu sio Wazawa.

Gen-Z msipitwe na hii fursa kama mnavoandika vipeperushi vya maandamano kuna haja ya kuandika vipeperushi vinavyotaka Wazanzibari watengwe na kurudi kwao ama kuweko na utaratibu wa kudeal nao
 
Wazanzibar naona tubaki tu majirani kama Kenya.
Jitegemeeni wenyewe huko muwe nchi kamili
Nunueni tu umeme kwetu na mtalipa,saruji vyakula tutawauzia.na sie tutakuja kutalii huko mtatulipisha.
Mwisho Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Tangu lini?
 
Hilo neno
 
kwa akili hzi mtaendelea kutegemea wazungu hadi mwisho wa dunia
 
Hawa wapemba wanaoishi huku na wamejenga kabisa tuwarudishe kwao na hakuna kuchukua chochote
 
Yale mashamba ya karafuu ya wazanziberi tujiandae kuyatia moto.
 
Back
Top Bottom