MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Tangu lini?Nikiwa sina hili wala lile nimekutana na habari kuwa Zanzibar haina hela ya kuwatibia Watanzania wanaokaa Zanzibar kwa sababu sio Wazawa.
Gen-Z msipitwe na hii fursa kama mnavoandika vipeperushi vya maandamano kuna haja ya kuandika vipeperushi vinavyotaka Wazanzibari watengwe na kurudi kwao ama kuweko na utaratibu wa kudeal nao
Hilo nenoWazanzibar naona tubaki tu majirani kama Kenya.
Jitegemeeni wenyewe huko muwe nchi kamili
Nunueni tu umeme kwetu na mtalipa,saruji vyakula tutawauzia.na sie tutakuja kutalii huko mtatulipisha.
Mwisho Kila mtu ashinde mechi zake.
kwa akili hzi mtaendelea kutegemea wazungu hadi mwisho wa duniaNikiwa sina hili wala lile nimekutana na habari kuwa Zanzibar haina hela ya kuwatibia Watanzania wanaokaa Zanzibar kwa sababu sio Wazawa.
Gen-Z msipitwe na hii fursa kama mnavoandika vipeperushi vya maandamano kuna haja ya kuandika vipeperushi vinavyotaka Wazanzibari watengwe na kurudi kwao ama kuweko na utaratibu wa kudeal nao