Kuna haja ya kuulizana tena kwanini fedha nyingi huingia kwenye matumizi kuliko Miradi ya Maendeleo

Expansionary fiscal policy hiyo mzee tegemea sasa JKT kukosa tenda sijui za ujenzi wa nini, mara ulinzi wa nini sijui wafanyakazi wote sjerikali lzm wawe na line za TTCL sijui mikutano yote kumbi za serikali noo sasa hivi sekta binafsi mikutano wataichukua nk kimsingi Sekta binafsi itarise sana na wengi kupata ajira tofauti na mwendazake gvt itabaki kumonitor tu na bado 2T zitapatikana
 
2T ni kweli itapatikana. Mzunguko utakuwa mkubwa.
 
Enzi za Jiwe watu wamepiga sana hela, ila ni kundi dogo sana.

Imagine: TASAC peke yao wametafuna milioni 600 ndani ya mwaka mmoja tu.

Yaani walikuwa wanakaa kikao cha bodi kila mwezi wanakula milioni 50!

Kwenye mabilioni ya Kigwangalla, Clouds wamepiga Milioni 600, Wasafi Milioni 140.

Jiulize kuna chochote kineongezeka kwenye utalii au zilikuwa ni Anasa zao tu.

Kama hilo halitoshi, wakati wa Magu kaharibu sana pesa kununua wapinzani na kurudia uchaguzi ambao hata haukuwa na sababu.

Uchaguzi mdogo wa ubunge unatafuna kama Milioni 300, sasa pigia mahesabu wabunge wote na madiwani waliounga mkono juhudi.
 
kubwa kuliko ni pale mei mosi, bi mkubwa yupo, makamu yupo na Majaliwa yupo, alafu wanaleta 1% paye cut, gharama haina tija, hotuba ingewekwa youtube πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
Lakini sherehe za May Mosi huandaliwa na TUCTA.

Suala mgeni rasmi anaweza kutoa chochote au asitoe kulingana na risala yenu.
 
Lakini sherehe za May Mosi huandaliwa na TUCTA.

Suala mgeni rasmi anaweza kutoa chochote au asitoe kulingana na risala yenu.
sawa hao VVVVP walitumia bei gani kwenda Mwanza, and for what? then wananchi wali-MUTE
 
sawa hao VVVVP walitumia bei gani kwenda Mwanza, and for what? then wananchi wali-MUTE
Ni shobo tu. Ikitokea Rais anaenda sehemu, watu wa chini yake wote wanataka wawepo.

Ndio maana huwa kunakuwa na bonge la msafara
 
Ni shobo tu. Ikitokea Rais anaenda sehemu, watu wa chini yake wote wanataka wawepo.

Ndio maana huwa kunakuwa na bonge la msafara
uyo alikuwa kama Rais Mpya tena Mwanamke, kuna namna hapo
 
Mliokoment hapo juu wote hamjaelewa nazani, sidhani kama jamaa amekusudia kumlaumu maza ila anaongelea matumizi ya serikali kwa ujumla ikiwemo na awamu zilizopita.
 
Kiukweli ukifikiria sana unatamani mapinduzi yatokee tu
 
Vp ile kesi yako uliwashtaki kampuni ya sim!
Au ulipoozwa

Ova
 
Hivi kwanini mnapenda ku quantify utendaji kazi kwa thamani ya pesa??

Hivi kupokea maoni directly kwa wazee na kuwapa appreciation unaweza kuipima kiasi gani cha fedha?

Kuwapa wazee motisha kuna pimwa kwa kiasi gani cha fedha?

Hivi mabadiliko ya sera, kisheria, mfumo wa afya n.k yaliyokuwa advocated leo unayapima kwa thamani ya shingapi?

Hiyo million 36 inaenda kusolve changamoto za wazee ambazo zima wacost mabililoon kwa mwaka?

Social projects ama social initiatives hazitakiwi kupimwa kwa gharama ya pesa bali impact kwenye jamii husika. Ndio maana kupigania uhuru Nyerere alitumia maelfu ya enzi hizo lakini zile gharama za nauli leo zimeleta uhuru ambao haupimwi kwa thamani ya kifedha pekee.

Let's be real
 
We nilikuwa nakuonaga ni mwanasheria una akili,,kumbe ni zezeta kabisa kabisa, ww ni takataka
 
Halafu eti ili jinga linajiita Lawyer,
 
kubwa kuliko ni pale mei mosi, bi mkubwa yupo, makamu yupo na Majaliwa yupo, alafu wanaleta 1% paye cut, gharama haina tija, hotuba ingewekwa youtube πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
Mthenge wewe,
 
Wewe nyumbani kwako fedha nyingi unazitumia kwny nini bwashee? Tunafanya kazi ili tufanye matumizi yetu ya muhimu na maendeleo ni ziada ndo mana uchumi ukiyumba katika familia tunasitisha ujenzi hatusitishi kula,kutibiwa,kusoma nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…