Kuna haja ya kuuonesha uma mkufu wa dhahabu na almasi ni upi hasa kwa wasanii wetu,wengi wanavaa vyuma siyo mikufu

Kuna haja ya kuuonesha uma mkufu wa dhahabu na almasi ni upi hasa kwa wasanii wetu,wengi wanavaa vyuma siyo mikufu

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Nilikwenda mlimani city kwa Mara ya kwanza mwaka 2007 nikaoneshwa mkufu wa dhahabu nilitoa macho kiasi kwamba ukimpa msichana kama zawadi lazima umuoe,kwani unang'aa kama jua linachomoza au kuzama.

Pia nilimuona Dada mmoja amevaa udsm kidani cha almasi kwa jinsi kinavyochoma lazima umfuate,sasa mikufu wanayovaa wasanii wetu akina Harmonize, Harmo rapa,Diamond siyo sahihi ni vyuma.
images(2).jpg
 
Back
Top Bottom