FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Nilikwenda mlimani city kwa Mara ya kwanza mwaka 2007 nikaoneshwa mkufu wa dhahabu nilitoa macho kiasi kwamba ukimpa msichana kama zawadi lazima umuoe,kwani unang'aa kama jua linachomoza au kuzama.
Pia nilimuona Dada mmoja amevaa udsm kidani cha almasi kwa jinsi kinavyochoma lazima umfuate,sasa mikufu wanayovaa wasanii wetu akina Harmonize, Harmo rapa,Diamond siyo sahihi ni vyuma.
Pia nilimuona Dada mmoja amevaa udsm kidani cha almasi kwa jinsi kinavyochoma lazima umfuate,sasa mikufu wanayovaa wasanii wetu akina Harmonize, Harmo rapa,Diamond siyo sahihi ni vyuma.