Dr-of-three-Phd
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 202
- 30
Karibu A. Town (Kama uko hapa) tunakutana kila mwisho wa mwezi.
Wana Jf,
Ili kuweza kufahamiana vema wana JF mnaonaje kama Kuna haja ya kuwa na Mkutano wa wana JF
wazo tu
A luta Continua !
Intellegensia haitoruhusu!
kwani hapa si tunakutana? au unataka watu wakutane kimwili?
tukutane sehemu yenye bar karibu....maana wengine mapka tukilewa ndo viingredha vinapanda sanaaaa
Wana Jf,
Ili kuweza kufahamiana vema wana JF mnaonaje kama Kuna haja ya kuwa na Mkutano wa wana JF?
wazo tu
A luta Continua !
Haina haja ndio maana hata HQ ya JF haturusu wageni
tukutane sehemu yenye bar karibu....maana wengine mapka tukilewa ndo viingredha vinapanda sanaaaa
Huwa nashangaa sana watu hawataki kukutana. ila ukitoa namba ya simu mtu anapiga. Jamani hii forum kwa mbwembwe. Kwa taarifa zenu watu wanakutana wengine wanafanya mpaka yasiyotakiwa machoni pa mwenyezi Mungu. Ni bora tuwe tunakutana tunashare mawazo you never know kwa msaada wako naweza panua mawazo yangu au biashara yangu yaweza kukua. Mimi sijapata anayehitaji kukutana na mimi. Any time niko available. Siwezi taja niliokutana nao ila nimeshakutana nao , ni marafii wazuri ajabu. May God bless them.