Kuna haja ya kuwa na Mkutano wa wanJF

Kuna haja ya kuwa na Mkutano wa wanJF

Dr-of-three-Phd

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
202
Reaction score
30
Wana Jf,

Ili kuweza kufahamiana vema wana JF mnaonaje kama Kuna haja ya kuwa na Mkutano wa wana JF?

wazo tu

A luta Continua !
 
Karibu A. Town (Kama uko hapa) tunakutana kila mwisho wa mwezi.
 
tukutane sehemu yenye bar karibu....maana wengine mapka tukilewa ndo viingredha vinapanda sanaaaa
 
vizuri sana nasikuhyo kila m2 atakuwa ana login ndio unaingia kikaoni
 
mimi naona bora tungekuwa wakweli,kujitambulisha majina ya kweli,tunafanya kazi gani,tuna umri gani
 
Haina haja ndio maana hata HQ ya JF haturusu wageni
 
tukutane sehemu yenye bar karibu....maana wengine mapka tukilewa ndo viingredha vinapanda sanaaaa

Mimi ni meneja wa hall hapa Hawai, kalibuni tuje tufanye mkutano hapa. Nitaghalimia vinywaji vyote. Kigogo njoo uje uzungumze kiingeredha hapa. Wine kwa ajili ya kuzungumza kifaransa ipo. Vodka nayo ipo kama unataka kuzungumza kirusi bila kusahau Kimpumu
 
Huwa nashangaa sana watu hawataki kukutana. ila ukitoa namba ya simu mtu anapiga. Jamani hii forum kwa mbwembwe. Kwa taarifa zenu watu wanakutana wengine wanafanya mpaka yasiyotakiwa machoni pa mwenyezi Mungu. Ni bora tuwe tunakutana tunashare mawazo you never know kwa msaada wako naweza panua mawazo yangu au biashara yangu yaweza kukua. Mimi sijapata anayehitaji kukutana na mimi. Any time niko available. Siwezi taja niliokutana nao ila nimeshakutana nao , ni marafii wazuri ajabu. May God bless them.
 
CD naomba kukutana na wewe Week end ijumaa au Jumamosi, nipo K'nyama
 
Back
Top Bottom