Saint Leo
Member
- Nov 9, 2018
- 46
- 57
Employment officer wa college.
Habarini wanajukwaa.
Najua tatizo la ajira kwa vijana wanaotoka vyuoni ni janga kwa taifa hili. Hii inatokana na sababu kwamba wahitimu wengine wanamaliza chuoni pengine hata bila kujua ni sehemu gani wanaweza omba nafasi za kazi ambazo marachache chache zinaweza kuwepo kwenye sector binafsi ukiachilia mbali nafasi za serikalini ambazo watu wengi wanaweza zi "access" zikitangazwa.
Mimi ningependa kutoa maoni yangu kwa vyuo katika idara kubwa(departments) au college kwamba kwanini wasiweze kuajiri mtu special ambaye kazi yake itakuwa ni kukusanya taarifa kwenye makampuni na taasis binafsi zinazohusiana na college yake(awe anatafuta connections na anazi secure kwa kuwahakikishia watumishi wa uhakika) ili pale watu wanapohitimu tu wanaomba kwa kupitia website aliyoiandaa.
Mfano: Kampuni A inahitaji watu kadhaa wa marketing,etc.
Kampuni B inahitaji watu wa4 wa intern,
Hili nalo naona chuo kitakuwa na msaada kwa wateja wao kwenye soko la ajira.