Kuna haja ya kuwa na timu ya Taifa?

Kuna haja ya kuwa na timu ya Taifa?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nahiso kina sehemu nyingi.pesa zinaitajika badalayakutiana aibu kwenye timu ya taifa..je kunaumuhimu wakuwa.na timuyataifa??

Kama ndio andika

n

kama siyo andika s

hujui andika

h
 
Wewe na hii timu ya taifa sawasawa, sasa ndio umeandika madudu gani?
 
Nahiso kina sehemu nyingi.pesa zinaitajika badalayakutiana aibu kwenye timu ya taifa..je kunaumuhimu wakuwa.na timuyataifa??

Kama ndio andika

n

kama siyo andika s

hujui andika

h

Nahiso budala kunaumuhimu badalayakutianaibu 'S'
 
'watanzania hebu fikiria kocha wazawa wa yanga na azam kuungana au kusaidiana na huyu kocha nooj ingekua bora kwa sababu unawaongezea uzoefu katika mashindano yao yajaayo lakini mnachukua kocha ambaye baada ya kusaidia kufundisha stars atakua kijiweni muda wote.kweli tutaendelea wapi.
 
Pjum.wayanga yukopale.mnipm.kama.mnamuitaji hana hiana
 
Miminadhani nibora kubo reshatwa ngape peta, tu kutane tujazeuku mbileaders klub

Cc Pdidy
 
Last edited by a moderator:
Timu gani ya taifa si bora hizo pesa wanazotumia kutalii zikachonge madawati.
 
Back
Top Bottom