pachawako
Senior Member
- Mar 30, 2024
- 120
- 315
Habari wana JF.
Leo nataka niseme, hali yakuendekeza njaa kwenye kila kitu imesababisha kutengeneza mifumo mibovu inayokuja kuleta waropokaji na watu wa deals wengi kuliko watendaji wa maendeleo kwenye nchi yetu.
Mfano, mtu anachaguliwa kugombea kupitia committee ya chama chake then anakuja kujinadi af anaondoka kusubiri chaguzi! ❌
Ilibidi kuwepo na midaharo officials ya kumjadiri kwanza huyo mgombea sehemu tofauti kisha inapaswa kuitwa na kuhojiwa na wakufunzi, wanafunzi wa vyuo pia wadau wa taasisi na mashirika binafsi pamoja na umoja wa watu mbali mbali kuhusiana na changamoto zao na vipi ataweza kuzitatua yeye na chama chake LIVE palepale.✅
Mtu anayenda kulipwa mamilioni ya fedha za wananchi anakuja jimboni na V8 anasimama kwenye kimeza cha laki au kwenye roof ya gari then anaomba kupewa jukumu la kusimamia miradi mikubwa ya mabilioni kwa kusimamisha watu kwenye jua❌
Kuna mda wananchi tubadirike issue za kwenda kushangaa msafara wa viongozi na mbwembwe za warinzi wao ni upuuzi kabisa, ilipaswa iyo mikutano ifanyike official usiku kwenye viwanja vikubwa na siku zisizokua za kazi, watu wapate nafasi za kukaa kama wao wanavyo kua wamekaa, na kusikiriza vizuri sera zao✅
Wananchi tusiwe watu waushabiki kwenye siasa hii ni mbaya sana, tupambanie na usawa na haki mtu apate nafasi kwa uwezo wake na maono aliyoyabeba kuongoza taifa na sio nguvu ya chama, jina, ama utajiri wake.
Kama unamarekebisho unayoyaona yanafaa kuwekwa kwenye chaguzi zetu please share huenda watu wanakunguka akili zaidi.