Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Mkuu hongera kwa bandiko zuri sana. Huu uzi utakuja kufunguliwa tena mwakani 2026 wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha haya magari.Tanzania tuna uhitaji mkubwa wa magari ya aina hii, size zinalingana na magari yafuatayo
1. Mabasi/Daladala size zote nne (hiace, coaster, Tata, mabasi ya mkoani)
2. Magari ya mizigo size zote 5 (kirikuu, townace, canter tani 1- 3.5, mafuso 10T)
3. Gari za kubeba mchanga size ya canter na fuso
4. Gari za lenye friji ya kubeba vitu vinavyoharibika mapema kama mbogamboga, matunda, nyama, kuku walio chinjwa,samaki, maziwa. Gari za ukubwa wa tani 1-3.5 hadi tani 10