Kuna haja ya kuwepo kwa adhabu ya kifo

Wanyongwe hawa wapumbavu.
Wasichokijua wauaji sio KILA mtu ni wa kuuwa wengine damu za ukoo wao hazipotei bure, ukimwaga damu yao ufiki mbali. Boss wa wasiojulikana yupo wapi? alichezea damu za watu kapotea.

 
Labda awe mkuu wa mahakama, lakini mkuu wa nchi hajui chochote juu ya masuala ya haki, adhabu na sheria.
Hata kama hajui, ila kutoa roho ya mtu ni lazima mkuu wa nchi atoe ridhaa, hata kama mahakama imeshatoa hukumu
 
Wanyongwe hawa wapumbavu.
Wasichokijua wauaji sio KILA mtu ni wa kuuwa wengine damu za ukoo wao hazipotei bure, ukimwaga damu yao ufiki mbali. Boss wa wasiojulikana yupo wapi? alichezea damu za watu kapotea.

View attachment 2095332
Binti wa watu miaka 30 tyu wamemtoa uhai songea binti miaka23 wamemtoa uhai bado ukiamka kesho utasikia mauaji mengine inasikitisha sana.
 
Binti wa watu miaka 30 tyu wamemtoa uhai songea binti miaka23 wamemtoa uhai bado ukiamka kesho utasikia mauaji mengine inasikitisha sana.
Ujinga ni tatizo hata kama wanatamani kuishi jela sio kwa kuua
 
Hii hadabu/hukumu wahiarakishe MKUU
 
Sheria inapogeuzwa na kuwa kisu butu badala ya msumeno. Kuua ni kuua..
 
Lakini pia adhabu ya kifo ina uwezo wa kupunguza potential murderers kwa kuwa inatisha.

Mtu akifikiria mara mbili kinsi atakavyo nyongwa anaweza kabisa akabadili maamuzi ya kuua mwenzake.

Ila pia hata hao wanaoua wakinyongwa itapunguza idadi ta wanaoua huku mtaani.

Adhabu ya kifo ibaki Tanzania na iwe inatekelezwa inapothinitika pasi na shaka kuwa muuaji aliua kwa kukusudia.
 
Pia sheria isiachiwe mahakama peke yake. Ni sawa rais akiidhinisha kunyongwa hadi kufa kwa muuaji ili kupunguza uwezekano wa chombo kimoja kuhodhi mamlaka yote kwenye issue sensitive kama kutoa uhai wa mtu.

Mahakama inaweza ika "abuse" hayo madaraka ikiachiwa powes zote. Mkuu wa nchi kuidhinisha ni sawa tu.
 
Suala la masikini kuwa watanyongwa kwa kuwa hawana hela za kuhonga sidhani kama lina mantiki. Akiwa masikini ndio aue?

Muhimu ni mahakama tu iwezeshwe kisheria kuwa na nguvu ya kudhibiti hizi cases bila kujali status ta mtu.

Wote wanaoua kwa kukusudia bila kujali hali zao za kiuchumi wanyongwe, ikiwezekana hadharani ili kuwaogofya wanaifikiria kuua wenzao waghairi
 
Suala la hoja hii ni kupata Rais atakayekuwa akiidhinisha kunyongwa kwa wengi au wote wanaohukumiwa na mahakama.
 
Kwani uwepo wa ukimwi umepunguza uzinzi? Tena mbaya zaidi watu hata ile kinga ya condom hawataki kuitumia, wanataka nyama kwa nyama.😂😂
 
Kwani uwepo wa ukimwi umepunguza uzinzi? Tena mbaya zaidi watu hata ile kinga ya condom hawataki kuitumia, wanataka nyama kwa nyama.[emoji23][emoji23]
Imagine pasingekywa na ukimwi jinsu ambavyo watu wangengonoka hovyo. It deters for sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…