Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Labda awe mkuu wa mahakama, lakini mkuu wa nchi hajui chochote juu ya masuala ya haki, adhabu na sheria.Kutoa uhai wa mtu ni jambo zito, lazima mkuu mwenye aridhie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda awe mkuu wa mahakama, lakini mkuu wa nchi hajui chochote juu ya masuala ya haki, adhabu na sheria.Kutoa uhai wa mtu ni jambo zito, lazima mkuu mwenye aridhie
Ushirikina ni tatizoBinafsi nikiwaza tukio la kuuawa kwa Gema Haule(23) mhudumu wa gesti songea naona iwepo kumnyonga wenzako kwa kamba za viatu hadi kufa kwann wewe usinyogwe?
Hata kama hajui, ila kutoa roho ya mtu ni lazima mkuu wa nchi atoe ridhaa, hata kama mahakama imeshatoa hukumuLabda awe mkuu wa mahakama, lakini mkuu wa nchi hajui chochote juu ya masuala ya haki, adhabu na sheria.
Binti wa watu miaka 30 tyu wamemtoa uhai songea binti miaka23 wamemtoa uhai bado ukiamka kesho utasikia mauaji mengine inasikitisha sana.Wanyongwe hawa wapumbavu.
Wasichokijua wauaji sio KILA mtu ni wa kuuwa wengine damu za ukoo wao hazipotei bure, ukimwaga damu yao ufiki mbali. Boss wa wasiojulikana yupo wapi? alichezea damu za watu kapotea.
View attachment 2095332
Ujinga ni tatizo hata kama wanatamani kuishi jela sio kwa kuuaBinti wa watu miaka 30 tyu wamemtoa uhai songea binti miaka23 wamemtoa uhai bado ukiamka kesho utasikia mauaji mengine inasikitisha sana.
Hamna mtu anataman kuishi jela ni hz roho mbaya za chuki zinaleta haya mamboUjinga ni tatizo hata kama wanatamani kuishi jela sio kwa kuua
Ukiziendekeza ni lzm uishie jelaHamna mtu anataman kuishi jela ni hz roho mbaya za chuki zinaleta haya mambo
Sheria inapogeuzwa na kuwa kisu butu badala ya msumeno. Kuua ni kuua..Kuna classes za mauaji, Ditto aliua ila ilikua ni manslaughter, hakua amedhamiria kumuua yule dereva, ilitokea bahati mbaya tu akaghafilika, the same na Chenge, hizo bahati mbaya mtu kufungwa maisha ama miaka kadhaa nakubaliana nazo kabisa.
Hapa tunaongelea pre meditated murder, umepanga, umeandaa kila kitu na ukadhamiria kuua, huyo hana sababu ya kuhurumiwa, lazima auwawe na yeye.
Kwani uwepo wa ukimwi umepunguza uzinzi? Tena mbaya zaidi watu hata ile kinga ya condom hawataki kuitumia, wanataka nyama kwa nyama.😂😂Lakini pia adhabu ya kifo ina uwezo wa kupunguza potential murderers kwa kuwa inatisha.
Mtu akifikiria mara mbili kinsi atakavyo nyongwa anaweza kabisa akabadili maamuzi ya kuua mwenzake.
Ila pia hata hao wanaoua wakinyongwa itapunguza idadi ta wanaoua huku mtaani.
Adhabu ya kifo ibaki Tanzania na iwe inatekelezwa inapothinitika pasi na shaka kuwa muuaji aliua kwa kukusudia.
Imagine pasingekywa na ukimwi jinsu ambavyo watu wangengonoka hovyo. It deters for sureKwani uwepo wa ukimwi umepunguza uzinzi? Tena mbaya zaidi watu hata ile kinga ya condom hawataki kuitumia, wanataka nyama kwa nyama.[emoji23][emoji23]