Kuna Haja Ya Makampuni Makubwa Kuwa Na Matoleo Ya Simu Mpya Kila Mwaka?

Kuna Haja Ya Makampuni Makubwa Kuwa Na Matoleo Ya Simu Mpya Kila Mwaka?

Verified Gadgets

New Member
Joined
Jun 8, 2022
Posts
4
Reaction score
5
•Kuna Siku Moja Nilikua Na Mteja Akaniuliza Ivi Verified Tukiongea Njee Ya Biashara Unaona Kuna Tofauti Yoyote kati ya iphone 13 plain Na Iphone 14 plain? Nikabaki nikitafakari…Juzi Pia Tulikua Tunafanya Comparison Ya Galaxy S25 Ultra Na S26 Ultra Nikagundua Vitu Vitatu Vya Msingi…

•Makampuni Mengi Ya Simu Yanatumia Tafiti iliyofanywa Kuhusu Binadamu Kwamba An Average person Anabadilisha Simu kila Baada Ya Miezi 36.

•Pia Kuweza Kucompete Na Makampuni Mengine Yanayouza Bidhaa Aina Hiyo Hiyo mf. Samsung Vs iphone

•Uwepo wa Uhitaji Wa Bidhaa Mpya Kila Siku Kutoka Kwa Watumiaji Mamia Waliopo Duniani Kwa Sasa Bila Kusahau Ongezeko la matumizi ya Smartphones Na Tools Kama AI.

Mwisho Kabisa Nikagundua Kwamba Sio Kama Tulivyoamini Zamani Kuwa Ili simu Mpya Itoke Au Product mpya Sio lazima Ije ikiwa na Technology Mpya Bali Kwa Ni Kwa Sababu Wanajua Watumiaji Wake Watanunua Tu Mwisho Wa Sikuu
 
Back
Top Bottom