Huu ni ukweli usiopingika. Imefika wakati Sasa wa mabadiliko. Sio LAZMA mtu awe mbunge ndo awe waziri. Huko ni kujichanganyaAsilimia kubwa ya wabunge waliopewa uwaziri,hawatendei haki majimbo yao kutokana na kuwa bize na uwaziri
Oooo umenikumbusha Ile fedha ilitumika. Kwahiyo ndo umeondoka bureeHapo ndipo panakuja takwa la katiba mpya .Lakini kwa uroho wa wachache wenye madaraka na maamuzi pamoja na uchawa , katiba mpya inaonekana kwao haina maana . Hawataki hata kuona huruma kwa fedha nyingi zilizotolewa kwa ajili ya kupata katiba mpya na bora.
Waziri asipotokana na wabunge ataingiaje bungeni, kwa ruhusa maalumu kama mgeni kama aingiavyo rais?1.Jerry Silaa ni mbunge anatumikia mhimili wa bunge ambao unapaswa kujitegemea.
2.Jerry Silaa ni waziri anatumikia serikali ambayo nayo ni mhimili unaojitegemea
3.Jerry Silaa ni wakili wa mahakama kuu hivyo anatumikia mhimili wa mahakama ambao pia hupaswa kujitegemea.
Wakati nikiwa kijana mdogo kabisa zamani tulisoma somo la siasa katika shule za msingi. Nimeskia siku hizi lilifutwa likaja la uraia..katika somo hilo tulifundishwa Kuna mihimili mitatu ya nchi. Serikali, bunge na mahakama. Tulifundishwa kwamba mihimili hii inapaswa kujitegemea na haiingiliani kabisa.
Katika mada yangu hapo juu nimemchagua Jerry Silaa kama mfano. Naangalia wakati akiwa waziri wa ardhi jinsi alivyokuwa anatumia hizo nafasi hadi mihimili inaingiliana katika shughuli zake za kila siku.
Yani waziri anasimama bungeni kwenye mhimili ambapo yeye ni mbunge wa ukonga, akiwakilisha mhimili mmoja wa serikali akiwa minister, huku analaumu mhimili wa tatu wa mahakama kwamba hautendi haki...hauamui vizuri kesi kama yeye mwanasheria na wakili anavyotaka...Yani ni mchanganyiko maalum.
Kuna haja Sasa ya KUBADILI SHERIA zetu.. sio LAZMA waziri atokane na wabunge...ikiwa mihimili hii haitakiwi kuingiliana..vipi waziri atokee kwenye ubunge..Sasa atajibana vipi???
Je ni mnavyoona mihimili hii inajitegemea??
Wasomi karibuni munisahihishe kama nimekosea..
Ngaiwoye nikiwa likizoni sauzafrika
Ujinga ni mzigo mzito Sana, Tena ni mzigo wa hatari.Waziri asipotokana na wabunge ataingiaje bungeni, kwa ruhusa maalumu kama mgeni kama aingiavyo rais?
Hayo hayatawezekana bila ya kubadilisha Katiba iliyopo kwa Sasa.1.Jerry Silaa ni mbunge anatumikia mhimili wa bunge ambao unapaswa kujitegemea.
2.Jerry Silaa ni waziri anatumikia serikali ambayo nayo ni mhimili unaojitegemea
3.Jerry Silaa ni wakili wa mahakama kuu hivyo anatumikia mhimili wa mahakama ambao pia hupaswa kujitegemea.
Wakati nikiwa kijana mdogo kabisa zamani tulisoma somo la siasa katika shule za msingi. Nimeskia siku hizi lilifutwa likaja la uraia..katika somo hilo tulifundishwa Kuna mihimili mitatu ya nchi. Serikali, bunge na mahakama. Tulifundishwa kwamba mihimili hii inapaswa kujitegemea na haiingiliani kabisa.
Katika mada yangu hapo juu nimemchagua Jerry Silaa kama mfano. Naangalia wakati akiwa waziri wa ardhi jinsi alivyokuwa anatumia hizo nafasi hadi mihimili inaingiliana katika shughuli zake za kila siku.
Yani waziri anasimama bungeni kwenye mhimili ambapo yeye ni mbunge wa ukonga, akiwakilisha mhimili mmoja wa serikali akiwa minister, huku analaumu mhimili wa tatu wa mahakama kwamba hautendi haki...hauamui vizuri kesi kama yeye mwanasheria na wakili anavyotaka...Yani ni mchanganyiko maalum.
Kuna haja Sasa ya KUBADILI SHERIA zetu.. sio LAZMA waziri atokane na wabunge...ikiwa mihimili hii haitakiwi kuingiliana..vipi waziri atokee kwenye ubunge..Sasa atajibana vipi???
Je ni mnavyoona mihimili hii inajitegemea??
Wasomi karibuni munisahihishe kama nimekosea..
Ngaiwoye nikiwa likizoni sauzafrika
Duh, Sasa hapo si maamuzi TU ya kubadili Sheria kuwa " mtu akishateuliwa kuwa waziri basi anaruhisiwa kuingia kungeni" kwani wale wanaoteuliwa na rahisi inakuwajeWaziri asipotokana na wabunge ataingiaje bungeni, kwa ruhusa maalumu kama mgeni kama aingiavyo rais?
Ukiteuliwa na rais kuwa mbunge wewe ni mbunge wa bunge la Tanzania si mbunge wa rais.Duh, Sasa hapo si maamuzi TU ya kubadili Sheria kuwa " mtu akishateuliwa kuwa waziri basi anaruhisiwa kuingia kungeni" kwani wale wanaoteuliwa na rahisi inakuwaje
KOSA MOJA HALIACHI MKEJerry slaa kila mtu anajua kahamishwa wizara baada ya ile clip mzee wa watu anajielezea eti MWEKENI NDANI THE GUY IS SO STUPID