Kuna haja ya Rais kutangaza anaoandamana nao ziarani?

Kuna haja ya Rais kutangaza anaoandamana nao ziarani?

Wale wazee wa "kombati" makirikiri wa awamu ya tano mbona mnawaruka? Mnataja 4 na 6 kulikoni?
 
Hapana hii ziara haikuwa ya siri iliandaliwa toka january na ni ya kimkakati kwaajili ya njia kuu ya usafirishaji kwaajili hao jamaa Zambia wana mkakati wa kupitisha mzigi Beria, Logistics wote wamealikwa na wanambatana na Raisi kwaajili ya hilo. Na nauli walijilipia ninauhakika na nilolisema.
Kabisa wafanyabiashara hujilipia tiketi na hotel pia hujilipia entrace fee kwenye vikao au makongamano

Unaweza kuwa kwenye msafara na usionane na rais yeye atakaa first class wewe utakaa economy Kishuka anapitia vip nyie mnaenda longroom, hata hotel mtakaa tofauti kwenye kikao atakaa high table nyie backbencher, kuna watu walienda na jk usa walijikuta wanalala kwenye makochi ubalozini
 
Back
Top Bottom