Kuna haja ya Rais kutangaza anaoandamana nao ziarani?

Wale wazee wa "kombati" makirikiri wa awamu ya tano mbona mnawaruka? Mnataja 4 na 6 kulikoni?
 
Kabisa wafanyabiashara hujilipia tiketi na hotel pia hujilipia entrace fee kwenye vikao au makongamano

Unaweza kuwa kwenye msafara na usionane na rais yeye atakaa first class wewe utakaa economy Kishuka anapitia vip nyie mnaenda longroom, hata hotel mtakaa tofauti kwenye kikao atakaa high table nyie backbencher, kuna watu walienda na jk usa walijikuta wanalala kwenye makochi ubalozini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…