Kuna haja ya serikali, kuanzisha chombo kitakachodhibiti suala la mavazi vyuoni

kombeo la daudi

Senior Member
Joined
Apr 30, 2025
Posts
190
Reaction score
200
Muonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia .

Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia kwanza muonekano wa mtu, uliobebwa na mavazi . kifupi yako mavazi ukivaa hata kama moyoni unajiona mjanja, lakini macho pa kibaka utaonekana kuwa na viashiria vya ugeni wa mji au jiji.

sasa wadau, hivi sasa kumezuka na hali isiyo rafiki kwa wanafunzi hususani hawa wa vyuo vikuu, kuhusu muonekano wao nadhifu wa kimavazi. najua kuna watakaosema uelewa haungalii mavazi, nafikiri watakuwa sahihi, lakini wakishahitimu,ni ofisa gani wa kampuni au taasisi au serikali atamkabidhi ofisi yake mvaa milegezo, na suruali zile za jinzi pana wavaazo wasanii'?

Nani atamuamini mnyoa panki aliyekubuhu toka chuoni ampe walau uzoefu wa kiutendaji? ni jamii gani inayotaka huduma itamuamini mtoa huduma~msomi mwenye hivyo vimelea hatari vya maadili.

Nini kifanyike?....kwa maoni yangu serikali ianzishe chombo murua ambacho kitadhibiti mavazi. vijana wavae mavazi yenye staha na maadili wawapo vyuoni hata kwenye vipindi vyao. hii itasaidia hata masomo ya shule ya msingi yanayohusu uraia na maadili yawe na tija uko mbeleni.

mtoto huenda akawa amefunzwa uraia na maadili vyema kabisa kwa ngazi ya msingi, lakini akaja kuharibika kwenye ngazi ya chuo baada ya kukosa muendelezo.

Na ndio, maana huku mtaani wakija mapumziko huja na tabia mbovu za uvaaji usio na maadili hadi inaleta ukakasi kama kweli hupata taaluma stahiki. Naam, wazazi hubaki na mshangao huwaonapo vijana wao wamevaa kiwanamuziki, au kichangudoa.

serikali,ianzishe chombo hiki na kiitwe cha maadili, kiwe na sheria zitakazombana mwanachuo atokee nadhifu kwa nguo za
kawaida tu ambazo hazitoleta mushkeli.

Aidha wakishindwa kabisa wapewe sare tu, kama vyuo vya kati vya ualimu vya ualimu. wanafunzi hawa hata wakipata kazi huwezi kuta wamevaa sendo na kaptura kazini.

nihitimishe kwa kusema, elimu bora ni lazima iendane na mavazi yanayosawili kwenye eneo husika.
na kwakuwa vyuo vikuu huweza kudahili hata, wanafunzi kutoka ulaya, hao ndio wapewe uhuru wa kuchagua mavazi kulingana na tamaduni zetu au zao. vinginevyo taifa litaendelea kuzalisha watoto wa kuvaa mabwanga na kutoboa hereni ambao pamoja na weledi wao ila hawataaminika kwenye soko la ajira.
 
Acha ujima wewe CHIZI, kuna sehemu wanavaa vizuri kama Bunge la Tanzania, lakini angalia output yao Pumba tupu kama ulizozungumza hapa
 
Wa focus kwenye kuboresha elimu na maadili kwa walimu ,kuna matatizo makubwa sana vyuoni hilo la mavazi ni kitu kidogo sana na very personal
 
Vyuo vya kati vina miongozo ya mavazi japo si vyote. Uhasibu na CBE wanajivalia wapendavyo, kuna vimini vingi sana kule kuona chupi ya mtu ina rangi gani ni kawaida kuona pambaja yake.
 
Hicho chombo utakuwa unakilipa wewe? V8 la mkurugenzi wa hicho chombo utalinunua wewe? Warsha na semina za hicho chombo utalipia wewe? WAACHE VIJANA waishi maisha yao kutokana na umri. Chuoni muhimu ni kupata GPA kali.
 
Muonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia .

Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia kwanza muonekano wa mtu, uliobebwa na mavazi . kifupi yako mavazi ukivaa hata kama moyoni unajiona mjanja, lakini macho pa kibaka utaonekana kuwa na viashiria vya ugeni wa mji au jiji.

sasa wadau, hivi sasa kumezuka na hali isiyo rafiki kwa wanafunzi hususani hawa wa vyuo vikuu, kuhusu muonekano wao nadhifu wa kimavazi. najua kuna watakaosema uelewa haungalii mavazi, nafikiri watakuwa sahihi, lakini wakishahitimu,ni ofisa gani wa kampuni au taasisi au serikali atamkabidhi ofisi yake mvaa milegezo, na suruali zile za jinzi pana wavaazo wasanii'?

Nani atamuamini mnyoa panki aliyekubuhu toka chuoni ampe walau uzoefu wa kiutendaji? ni jamii gani inayotaka huduma itamuamini mtoa huduma~msomi mwenye hivyo vimelea hatari vya maadili.

Nini kifanyike?....kwa maoni yangu serikali ianzishe chombo murua ambacho kitadhibiti mavazi. vijana wavae mavazi yenye staha na maadili wawapo vyuoni hata kwenye vipindi vyao. hii itasaidia hata masomo ya shule ya msingi yanayohusu uraia na maadili yawe na tija uko mbeleni.

mtoto huenda akawa amefunzwa uraia na maadili vyema kabisa kwa ngazi ya msingi, lakini akaja kuharibika kwenye ngazi ya chuo baada ya kukosa muendelezo.

Na ndio, maana huku mtaani wakija mapumziko huja na tabia mbovu za uvaaji usio na maadili hadi inaleta ukakasi kama kweli hupata taaluma stahiki. Naam, wazazi hubaki na mshangao huwaonapo vijana wao wamevaa kiwanamuziki, au kichangudoa.

serikali,ianzishe chombo hiki na kiitwe cha maadili, kiwe na sheria zitakazombana mwanachuo atokee nadhifu kwa nguo za
kawaida tu ambazo hazitoleta mushkeli.

Aidha wakishindwa kabisa wapewe sare tu, kama vyuo vya kati vya ualimu vya ualimu. wanafunzi hawa hata wakipata kazi huwezi kuta wamevaa sendo na kaptura kazini.

nihitimishe kwa kusema, elimu bora ni lazima iendane na mavazi yanayosawili kwenye eneo husika.
na kwakuwa vyuo vikuu huweza kudahili hata, wanafunzi kutoka ulaya, hao ndio wapewe uhuru wa kuchagua mavazi kulingana na tamaduni zetu au zao. vinginevyo taifa litaendelea kuzalisha watoto wa kuvaa mabwanga na kutoboa hereni ambao pamoja na weledi wao ila hawataaminika kwenye soko la ajira.
Zamani mababu zako walitembea uchi
 
Kwani Monetary doctor na Dr am 4 real PhD walikuwa wanavaa vipi enzi za uanachuo wao? 🤔.

Mbona Pascal Mayalla ananyoa kiduku na anaaminika hapa jukwaani na kwa watanzania wote.

Pascal Mayalla AKA Kim jong Un 😎.
 
Mimi ni mtu wa maadili Sanaa kwa mfano.

Nina pensi ya short jeans Sasa wife huwa anapendekeza kuikunja Mimi naona ni uhuni

Nakataa yeye anasema kunja bwana Mimi nam bishia

Screenshot_20250614-100402.png

Mimi kukunja hii short naona uhuni so huwa naikunjua..nikivaa ivyo kwa kukunja najiona kama muhuni.

Mimi ni mtu wa maadili sanaa
 
Back
Top Bottom