secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hahaha 😂, kwa hiyo picha uliyoweka leo mishangazi itajazana kwenye PM yako.Mimi ni mtu wa maadili Sanaa kwa mfano.
Nina pensi ya short jeans Sasa wife huwa anapendekeza kuikunja Mimi naona ni uhuni
Nakataa yeye anasema kunja bwana Mimi nam bishia
View attachment 3367850
Mimi kukunja hii short naona uhuni so huwa naikunjua..nikivaa ivyo kwa kukunja najiona kama muhuni.
Mimi ni mtu wa maadili sanaa
Tusha staafuu na kutundika dalugaHahaha 😂, kwa hiyo picha uliyoweka leo mishangazi itajazana kwenye PM yako.
Picha za mavazi yasiyofaa ziko wapi ?Muonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia .
Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia kwanza muonekano wa mtu, uliobebwa na mavazi . kifupi yako mavazi ukivaa hata kama moyoni unajiona mjanja, lakini macho pa kibaka utaonekana kuwa na viashiria vya ugeni wa mji au jiji.
sasa wadau, hivi sasa kumezuka na hali isiyo rafiki kwa wanafunzi hususani hawa wa vyuo vikuu, kuhusu muonekano wao nadhifu wa kimavazi. najua kuna watakaosema uelewa haungalii mavazi, nafikiri watakuwa sahihi, lakini wakishahitimu,ni ofisa gani wa kampuni au taasisi au serikali atamkabidhi ofisi yake mvaa milegezo, na suruali zile za jinzi pana wavaazo wasanii'?
Nani atamuamini mnyoa panki aliyekubuhu toka chuoni ampe walau uzoefu wa kiutendaji? ni jamii gani inayotaka huduma itamuamini mtoa huduma~msomi mwenye hivyo vimelea hatari vya maadili.
Nini kifanyike?....kwa maoni yangu serikali ianzishe chombo murua ambacho kitadhibiti mavazi. vijana wavae mavazi yenye staha na maadili wawapo vyuoni hata kwenye vipindi vyao. hii itasaidia hata masomo ya shule ya msingi yanayohusu uraia na maadili yawe na tija uko mbeleni.
mtoto huenda akawa amefunzwa uraia na maadili vyema kabisa kwa ngazi ya msingi, lakini akaja kuharibika kwenye ngazi ya chuo baada ya kukosa muendelezo.
Na ndio, maana huku mtaani wakija mapumziko huja na tabia mbovu za uvaaji usio na maadili hadi inaleta ukakasi kama kweli hupata taaluma stahiki. Naam, wazazi hubaki na mshangao huwaonapo vijana wao wamevaa kiwanamuziki, au kichangudoa.
serikali,ianzishe chombo hiki na kiitwe cha maadili, kiwe na sheria zitakazombana mwanachuo atokee nadhifu kwa nguo za
kawaida tu ambazo hazitoleta mushkeli.
Aidha wakishindwa kabisa wapewe sare tu, kama vyuo vya kati vya ualimu vya ualimu. wanafunzi hawa hata wakipata kazi huwezi kuta wamevaa sendo na kaptura kazini.
nihitimishe kwa kusema, elimu bora ni lazima iendane na mavazi yanayosawili kwenye eneo husika.
na kwakuwa vyuo vikuu huweza kudahili hata, wanafunzi kutoka ulaya, hao ndio wapewe uhuru wa kuchagua mavazi kulingana na tamaduni zetu au zao. vinginevyo taifa litaendelea kuzalisha watoto wa kuvaa mabwanga na kutoboa hereni ambao pamoja na weledi wao ila hawataaminika kwenye soko la ajira.
Pia GPA Kali pia haihalalishi kuwa na maisha mazuri!Hicho chombo utakuwa unakilipa wewe? V8 la mkurugenzi wa hicho chombo utalinunua wewe? Warsha na semina za hicho chombo utalipia wewe? WAACHE VIJANA waishi maisha yao kutokana na umri. Chuoni muhimu ni kupata GPA kali.
Lakini ndo lengo kuu ukiwa chuoniPia GPA Kali pia haihalalishi kuwa na maisha mazuri!
Hawajali hilo.Tusha staafuu na kutundika daluga
hiLakini ndo lengo kuu ukiwa chuoni
Kwa humu wapo??Hawajali hilo.
Umefanya vyema mkuu.Mimi nilikuwa ni jeans, tishet, Jordan yangu au air nn, simple na saa nakuwa mnyamwezi, afu sunajua nilikuwa mjini kati lazima udamshi mazee,,
Wamejaa teke.Kwa humu wapo??
Hicho natinga vzr Ila navaa na sandals raba hpn sina mguu 😂 ninavyo vingi Ila so jinziView attachment 3367856
Unaweza kuvaa ivi 🤣
Kanisani nilikuwa nasali st Joseph cathedral, hata sasa nikipata nafasi naenda Alhamisi kwa ajili ya kuabudu ekaristiUmefanya vyema mkuu.
Ila kanisani ulikuwa unaenda kama ilivyokuwa kwa wazazi wako.
mkuu, sahihisha mwandiko siuoni vizuriWamejaa teke.
Kuna padre wetu mmoja alikuambia na ekaristi takatifu kitu ambacho ni kinyume na maadil kwa sababu ekaristi unatakiwa utembee nayo taratibu kwa maandamano.Kanisani nilikuwa nasali st Joseph cathedral, hata sasa nikipata nafasi naenda Alhamisi kwa ajili ya kuabudu ekaristi
Nimeshalewa mbege asubuhi asubuhi....hata mimi siuoni.mkuu, sahihisha mwandiko siuoni vizuri
Picha tafadhaliMuonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia .
Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia kwanza muonekano wa mtu, uliobebwa na mavazi . kifupi yako mavazi ukivaa hata kama moyoni unajiona mjanja, lakini macho pa kibaka utaonekana kuwa na viashiria vya ugeni wa mji au jiji.
sasa wadau, hivi sasa kumezuka na hali isiyo rafiki kwa wanafunzi hususani hawa wa vyuo vikuu, kuhusu muonekano wao nadhifu wa kimavazi. najua kuna watakaosema uelewa haungalii mavazi, nafikiri watakuwa sahihi, lakini wakishahitimu,ni ofisa gani wa kampuni au taasisi au serikali atamkabidhi ofisi yake mvaa milegezo, na suruali zile za jinzi pana wavaazo wasanii'?
Nani atamuamini mnyoa panki aliyekubuhu toka chuoni ampe walau uzoefu wa kiutendaji? ni jamii gani inayotaka huduma itamuamini mtoa huduma~msomi mwenye hivyo vimelea hatari vya maadili.
Nini kifanyike?....kwa maoni yangu serikali ianzishe chombo murua ambacho kitadhibiti mavazi. vijana wavae mavazi yenye staha na maadili wawapo vyuoni hata kwenye vipindi vyao. hii itasaidia hata masomo ya shule ya msingi yanayohusu uraia na maadili yawe na tija uko mbeleni.
mtoto huenda akawa amefunzwa uraia na maadili vyema kabisa kwa ngazi ya msingi, lakini akaja kuharibika kwenye ngazi ya chuo baada ya kukosa muendelezo.
Na ndio, maana huku mtaani wakija mapumziko huja na tabia mbovu za uvaaji usio na maadili hadi inaleta ukakasi kama kweli hupata taaluma stahiki. Naam, wazazi hubaki na mshangao huwaonapo vijana wao wamevaa kiwanamuziki, au kichangudoa.
serikali,ianzishe chombo hiki na kiitwe cha maadili, kiwe na sheria zitakazombana mwanachuo atokee nadhifu kwa nguo za
kawaida tu ambazo hazitoleta mushkeli.
Aidha wakishindwa kabisa wapewe sare tu, kama vyuo vya kati vya ualimu vya ualimu. wanafunzi hawa hata wakipata kazi huwezi kuta wamevaa sendo na kaptura kazini.
nihitimishe kwa kusema, elimu bora ni lazima iendane na mavazi yanayosawili kwenye eneo husika.
na kwakuwa vyuo vikuu huweza kudahili hata, wanafunzi kutoka ulaya, hao ndio wapewe uhuru wa kuchagua mavazi kulingana na tamaduni zetu au zao. vinginevyo taifa litaendelea kuzalisha watoto wa kuvaa mabwanga na kutoboa hereni ambao pamoja na weledi wao ila hawataaminika kwenye soko la ajira.
hahaha just relax kwanza mkuu usi type chochoteNimeshalewa mbege asubuhi asubuhi....hata mimi siuoni.
Karma is really omba msamahaKuna padre wetu mmoja alikuambia na ekaristi takatifu kitu ambacho ni kinyume na maadil kwa sababu ekaristi unatakiwa utembee nayo taratibu kwa maandamano.
Nilimchongea yule padre kwa paroko kwa alichokifanya hadi akafukuzwa kituo kitu ambacho najutia hadi leo.
😂😀hahaha just relax kwanza mkuu usi type chochote