Kuna haja ya serikali, kuanzisha chombo kitakachodhibiti suala la mavazi vyuoni

Acha ujima wewe CHIZI, kuna sehemu wanavaa vizuri kama Bunge la Tanzania, lakini angalia output yao Pumba tupu kama ulizozungumza hapa
Hili jibu zuri sana, lakini kule vyuoni kuna wavaa hijabu pia labda mleta mada anashauri hilo ndo liwe vazi la vyuo.
 
Naunga mkono hoja. Maadili ya mavazi ni heshma kwa mtu.
Yanajenga taswira nzuri na kuitambulisha jamii kuwa ni ya kistaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…