Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Natumai hamjambo nyote
Kama Kuna kitu nakichukia hapa duniani
1:uchafu
2:uchafu
Jamani kiufupi uchafu Ni tabia na si Kama inavyodhaniwa kuwa uchafu Ni kwa wale watu wa Hali ya chini tu
Ila ukweli Ni kuwa uchafu Ni tabia
Haijalishi una maisha gani
Jiulize unafika hospital kuanzia mazingira mpaka wahudumu wachafu Kama majaruba ya mzee king
Naiomba serikali kuanzisha wizara ya usafi
Tuwawajibishe watu wachafu
Jamani acheni uchafu