Natumai hamjambo nyote
Kama Kuna kitu nakichukia hapa duniani
1:uchafu
2:uchafu
Jamani kiufupi uchafu Ni tabia na si Kama inavyodhaniwa kuwa uchafu Ni kwa wale watu wa Hali ya chini tu
Ila ukweli Ni kuwa uchafu Ni tabia
Haijalishi una maisha gani
Jiulize unafika hospital kuanzia mazingira mpaka wahudumu wachafu Kama majaruba ya mzee king
Naiomba serikali kuanzisha wizara ya usafi
Tuwawajibishe watu wachafu
Jamani acheni uchafu
Mimi pia sipendi uchafu jamanii,na siwezi ishi na mtu mchafu kama umekuja kwangu itabidi ubadilike tuu huwezi ondoka,.siwezi kuvumilia mazingira yanizungukayo tena ya kila siku yawe machafu hapana asee...na uchafu unaambatana na UVIVU..