Kuna haja ya Serikali kuingia ubia katika kutoa baadhi ya huduma

Kuna haja ya Serikali kuingia ubia katika kutoa baadhi ya huduma

Mhaiki2022

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
132
Reaction score
187
Katika kuhakikisha kuwa baadhi ya huduma zinakuwa endelevu kama maji na umeme serikali itoe dhabuni au kuingia ubia na private entities kutoa baadhi ya huduma.. Wakati mwingine mambo yanakuwa ni mengi kwa serikali kwa kufanya hivi mzigo unaweza pungua kidogo
 
Ni matatizo ya serikali kupenda monopoly, hata hizo mamlaka haziko efficient na hazina ubunifu........ni bora serikali ibaki na regulatory authorities kusimamia sheria, ubora na viwango na sekta binafsi ichukue usukani.
 
Nisahihi km shirika la ndege aisee ilikuwepo community airline fastjest bei chee kwann lkn?
 
Back
Top Bottom