Katika kuhakikisha kuwa baadhi ya huduma zinakuwa endelevu kama maji na umeme serikali itoe dhabuni au kuingia ubia na private entities kutoa baadhi ya huduma.. Wakati mwingine mambo yanakuwa ni mengi kwa serikali kwa kufanya hivi mzigo unaweza pungua kidogo
Ni matatizo ya serikali kupenda monopoly, hata hizo mamlaka haziko efficient na hazina ubunifu........ni bora serikali ibaki na regulatory authorities kusimamia sheria, ubora na viwango na sekta binafsi ichukue usukani.