PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Nimejaribu kufuatilia hii michezo, japo inaonekana Kama special kwa watu wa betting, Ila ikilasimishwa, inaweza changia pakubwa kuongeza ajira na Kodi kwa serikali, zichaguliwe timu nzuri za ligi kuu, na ratiba, matokeo na msimamo wa ligi unawekwa Kama kawaida. Huo Ni mtazamo WANGU, mnaweza eleza changamoto na mkaboresha zaidi kulingana na khari ya Sasa ya gonjwa la Corona. Kama huujui mchezo huu, tafadhari uliza utaelekezwa