Kuna haja ya Tanzania kuwa na electronic league chini ya usimamizi wa bodi ya michezo?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Nimejaribu kufuatilia hii michezo, japo inaonekana Kama special kwa watu wa betting, Ila ikilasimishwa, inaweza changia pakubwa kuongeza ajira na Kodi kwa serikali, zichaguliwe timu nzuri za ligi kuu, na ratiba, matokeo na msimamo wa ligi unawekwa Kama kawaida. Huo Ni mtazamo WANGU, mnaweza eleza changamoto na mkaboresha zaidi kulingana na khari ya Sasa ya gonjwa la Corona. Kama huujui mchezo huu, tafadhari uliza utaelekezwa
 
Ndo ipoje hiyo electronic league? Nimeona kule sportpesa lkn sijaelewa inachezwaje na wanacheza kina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…