Slaa si mko naye ccm au ?Kudai mtadai wote shida ni pale wakipata watawakumbuka, alianza slaa wakamtosa zitto wakamtosa wote hawafai bora wanamchi tujiongoze wenyewe kuwa chini ya viongozi wa dini kama....!
Tundu Lissu ni mgumu kufanya nae kazi,sababu yeye anaamini ni mjuaji kuliko wote na anajua kila kitu.Habari JF
Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT wazalendo ya Zitto ni wapinzani? au CUF ya Lipumba ni wapinzani ?
Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye Ushawishi mkubwa .
Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa Nchi .
2025 chama kikitia nguvu ya Kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka .
Tanzania ina hitaji akili na mawazo mapya ni aibu miaka 60 baada ya uhuru Bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk.. kwa Nchi yenye Madini, Bahari, Mito, Maziwa, Utalii, eneo kubwa la kilimo ....nk
wewe ndo unaona syo wapinzani ila watanzania wenzio tunawapa kongoleHabari JF
Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT wazalendo ya Zitto ni wapinzani? au CUF ya Lipumba ni wapinzani ?
Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye Ushawishi mkubwa .
Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa Nchi .
2025 chama kikitia nguvu ya Kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka .
Tanzania ina hitaji akili na mawazo mapya ni aibu miaka 60 baada ya uhuru Bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk.. kwa Nchi yenye Madini, Bahari, Mito, Maziwa, Utalii, eneo kubwa la kilimo ....nk
Aaanzishe chama cha wehu wenzake. Yeye na Zitto ni mapachaHabari JF

Huyu mbatia na chama chake wamemalizana vipi? Mimi nasema Lissu abaki Chadema itapendezaMbatia
Acha ujinga! Kwani hicho chama aliko kina tatizo Naye!Habari JF
Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT wazalendo ya Zitto ni wapinzani? au CUF ya Lipumba ni wapinzani ?
Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye Ushawishi mkubwa .
Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa Nchi .
2025 chama kikitia nguvu ya Kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka .
Tanzania ina hitaji akili na mawazo mapya ni aibu miaka 60 baada ya uhuru Bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk.. kwa Nchi yenye Madini, Bahari, Mito, Maziwa, Utalii, eneo kubwa la kilimo ....nk
CCM mnaigopa CHADEMA, sasa mnakuja na mbinu za divide ana rule. MmefeliHabari JF
Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT wazalendo ya Zitto ni wapinzani? au CUF ya Lipumba ni wapinzani ?
Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye Ushawishi mkubwa .
Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa Nchi .
2025 chama kikitia nguvu ya Kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka .
Tanzania ina hitaji akili na mawazo mapya ni aibu miaka 60 baada ya uhuru Bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk.. kwa Nchi yenye Madini, Bahari, Mito, Maziwa, Utalii, eneo kubwa la kilimo ....nk
Mjuajii kinoma na hana caliber ya uongozi yeye ana caliber ya kuwa whistle blowerTundu Lissu ni mgumu kufanya nae kazi,sababu yeye anaamini ni mjuaji kuliko wote na anajua kila kitu.
Kukurahisishia tu ni kwamba Tundu Lisu hana watu. Hana ushawishi kwa lugha rahisi. Ni kama alivyo Mbowe mwenyewe japo kidogo sana angalau Mbowe.Habari JF,
Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT Wazalendo ya Zitto ni wapinzani? Au CUF ya Lipumba ni wapinzani?
Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc, na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye ushawishi mkubwa.
Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa nchi. 2025 chama kikitia nguvu ya kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka.
Tanzania inahitaji akili na mawazo mapya, ni aibu miaka 60 baada ya uhuru bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk; kwa Nchi yenye madini, bahari, mito, maziwa, utalii, eneo kubwa la kilimo nk.
hivi wewe unaona kuna chama hapo kipo serious kuchukua nchi ?Crazy idea....
Kwanini issue asijiunge na other 15remaining parties...
Idiot
👊Dai katiba Kijana , ccm wanaringia katiba iliyopo kwn inawabeba kwa 85% ...ungana nasi kudai katiba mpya achana na mawazo ya kuanzisha chama kipya
wa unadhani CCM wanaweza toka kwa Katiba mpya ?Dai katiba Kijana , ccm wanaringia katiba iliyopo kwn inawabeba kwa 85% ...ungana nasi kudai katiba mpya achana na mawazo ya kuanzisha chama kipya
Yes , na ndo maana wanaogopa kwn wanajua wakileta katiba mpya ndo mwisho wao . Na ww si mmoja waowa unadhani CCM wanaweza toka kwa Katiba mpya ?