Kuna haja ya Tundu Lissu kuanzisha chama cha siasa kwa masilahi mapana ya Taifa

Ndiyo mlivyopanga hapo lumumba? Mnatapatapa sana na bado!
 
Crazy idea....
Kwanini issue asijiunge na other 15remaining parties...

Idiot
Sio waanzishe chama bali wakitaka wanaweza wakajiunga hata kwenye chama cha mzee wa kugawa ubwabwa mashuleni au chama chochote kingine !! Kuanzisha Chama kipya waulize Umoja Party !!
 
Kwani mimba yako ina umri gani?
 

Tundu Lisu aungane na Bashiru?! Hebu acha utani Boss. Mwambie Bashiru aungane na kina Polepole, Makonda, Sabaya, Mnyeti na uchafu wa aina ile kuanzisha chama ili waendeleze ukatilili wao waliousimamia wakati wa Magufuli.
 
1. Mihemuko na mihasira yote hiyo atamwongoza nani?
2. Nani atakubali kuwa na kiongozi wa chama mmwisenge (mtu wa mwisenge)? [Mwisenge ni eneo kwenye mji wa musoma]
Baba yako nae mmwisenge, yaani anatokea mwisenge, na ukoo wenu wote,
 
Tundu Lisu aungane na Bashiru?! Hebu acha utani Boss. Mwambie Bashiru aungane na kina Polepole, Makonda, Sabaya, Mnyeti na uchafu wa aina ile kuanzisha chama ili waendeleze ukatilili wao waliousimamia wakati wa Magufuli.
Mkuu unamchukia Magu bila sababu yoyote
 
Chadema wajanja sana wameona wazindue kabla hajafika maana wameshajua yule anajijenga zaidi kuliko kukijenga chama lakini pia wameona atalopoka aharibu dhana ya makubaliano ya Mama na Mbowe
 
KUSAJILIWA ICHOMA CHAMA SIO LEO
 
nadhani mmemuona mwenyekiti leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…