Kuna hali ya hasira na visasi huwa inanijiaga yaani naumia

Mcmillan de Maghayo

Senior Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
197
Reaction score
438
Dhulma, uonevu na usaliti naviepuka sana.

Nikikumbuka nyakati tofauti nilivyodhulumiwa, kuonewa na kusalitiwa kwenye maisha yangu najawa na ghazab na visasi ila baadaye na potezea.

Hii hali hunijia mara kwa mara sana. Ila Mungu anaingiliaga kati kwa msaada wa bangi.

Yani nikivuta tu I feel relaxed and comfortable nakusahau.

adriz de Uumbwaz
 
😂😆😂

Maarass !! Maarassmita

Nilikuwa na mpango nikuchome kwa mods ule ban ila nimecheka sana hii post mpaka nikahisi itakuwa makosa chizi kama wewe kupewa Ban
 
Back
Top Bottom