Ukipita barabarani maeneo ya shekilango unakutana na harufu kali sana ya uozo inayotoka machinjio ya kuku yaliyopo ndani ya soko la shekilango.
Hivi Manispaa husika Ubungo/Kinondoni wameshindwa kudhibiti hali hii?
Afya za walaji wanaoenda kununua na kuchinjiwa kitoweo cha kuku ikoje?
HAPO BADO MASIKA.
HII KERO ITAISHA LINI?