TheDreamer Thebeliever JF-Expert Member Joined Feb 26, 2018 Posts 2,490 Reaction score 3,584 Oct 10, 2021 #1 Habari wadau...! Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel. Karibuni tujadili.
Habari wadau...! Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel. Karibuni tujadili.