MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Si ianguke. Anguka nayo.Maandamano yanakuwa kwa kasi Wairan wanashusha bendera ya Jamhuri ya Kiislam na kupandisha bendera ya Jua na Simba.
Kobazi wanajukumu gumu mbele yao,
1. Kuua watu kama Samia alivofanya
2. Kukubali kuaguka
View: https://x.com/ShayanX0/status/2009024757883371597
View: https://x.com/ShayanX0/status/2009022030537216152
View: https://x.com/Savakzadeh/status/2009012756859768958
View: https://x.com/NiohBerg/status/2009024887927558515
View: https://x.com/NiohBerg/status/2009024095133049254
Narudia tena siku Bendera ya Tanganyika itakapoonekana mitaani itakuwa mwanzo wa mwisho wa CCM
Dini zinaweza kupotea ila Imani itaendelea tu kuwepo.Uislamu utapotea Kwa upumbavu wake na upumbavu wa waislamu duniani kote ndio sifa kuu na ukristo kwasababu unaongozwa na reasoning utapotezwa na tekkmolojia. Hivyo uislamu utaanza utaanza kupotea kabla ya ukristo na sababu ni moja tu uislamu unatumia mabavu na ujinga kujieneza. Miaka mia tu ijayo hakuna mtu ataamini akifia dini atapewa mabikira 72 huu ni uongo mkubwa unaoutafuna uislam Leo sembuse gen z ya Miaka mia ijayo.
Ni kweli. Hata himaya za ugiriki na roma zilipotea hivyo sawa na ukristo utakavyopotea na baadaye ubepari kama ulivopotea ukomunisti.Uislamu utapotea Kwa upumbavu wake na upumbavu wa waislamu duniani kote ndio sifa kuu na ukristo kwasababu unaongozwa na reasoning utapotezwa na tekkmolojia. Hivyo uislamu utaanza utaanza kupotea kabla ya ukristo na sababu ni moja tu uislamu unatumia mabavu na ujinga kujieneza. Miaka mia tu ijayo hakuna mtu ataamini akifia dini atapewa mabikira 72 huu ni uongo mkubwa unaoutafuna uislam Leo sembuse gen z ya Miaka mia ijayo.
Uislamu kwakuwa hauna demokrasia utapotea ndani ya Karne mbili zijazo kwasababu uislamu haubadiliki ni very conservative mbaya zaidi ndio unaongoza kutoa ma tyrant kitu ambacho ulimwengu huu na ujao haubikumbatii (udikteta na kukataa mabadiliko).uislamu utaanguka UTABAKI ukristo ambao unakubali heshima ya utu mabadiliko na demokrasia. Ila pia baada ya Miaka 300 ukristo utafutika nao kabisa na dunia haitakuwa na dini tena. Hivyo basi kifo Cha uislamu na ukristo vitatofautiana Kwa miaka 300! Karne tatu. Utaanza uislamu kufa na hatimaye ukristo hivyo dini zitaptea kabisa Miaka 600 ijayo toka Sasa na hapo ulimwengu utakuwa automated to the fullest Kuanzia reasoning mpaka death.
Mungu Wabariki watu wa Iran.
Hawa watu wako smart sana kichwani. Siku wakisitisha mabifu uchwara watafika mbali sana.
Uislamu kwakuwa hauna demokrasia utapotea ndani ya Karne mbili zijazo kwasababu uislamu haubadiliki ni very conservative mbaya zaidi ndio unaongoza kutoa ma tyrant kitu ambacho ulimwengu huu na ujao haubikumbatii (udikteta na kukataa mabadiliko).uislamu utaanguka UTABAKI ukristo ambao unakubali heshima ya utu mabadiliko na demokrasia. Ila pia baada ya Miaka 300 ukristo utafutika nao kabisa na dunia haitakuwa na dini tena. Hivyo basi kifo Cha uislamu na ukristo vitatofautiana Kwa miaka 300! Karne tatu. Utaanza uislamu kufa na hatimaye ukristo hivyo dini zitaptea kabisa Miaka 600 ijayo toka Sasa na hapo ulimwengu utakuwa automated to the fullest Kuanzia reasoning mpaka death.
Ndg hilo la kuanguka kwa Utawala wa Kiayatollah wa Iran ilikuwa ni suala la muda tu, yaani lini muda ufike ianguke. Kulingana na Biblia, tusingefika ule mwisho wa Mfumo Huu wa Shetani Ibilisi huku kukiwa na Jamii fulani ya Binadamu ambao wako chini ya minyoro ya ukandamizaji wa serikali inayomtumikia shetani allah moja kwa moja. Katika hali hiyo Mungu wa Kweli asingekuwa na video vya kutekeleza hukumu ya haki kwa Wairan. Inatakiwa wawe huru kuamua endapo wanamchagua Mungu wa Biblia au shetani allah.Uislamu kwakuwa hauna demokrasia utapotea ndani ya Karne mbili zijazo kwasababu uislamu haubadiliki ni very conservative mbaya zaidi ndio unaongoza kutoa ma tyrant kitu ambacho ulimwengu huu na ujao haubikumbatii (udikteta na kukataa mabadiliko).uislamu utaanguka UTABAKI ukristo ambao unakubali heshima ya utu mabadiliko na demokrasia. Ila pia baada ya Miaka 300 ukristo utafutika nao kabisa na dunia haitakuwa na dini tena. Hivyo basi kifo Cha uislamu na ukristo vitatofautiana Kwa miaka 300! Karne tatu. Utaanza uislamu kufa na hatimaye ukristo hivyo dini zitaptea kabisa Miaka 600 ijayo toka Sasa na hapo ulimwengu utakuwa automated to the fullest Kuanzia reasoning mpaka death.