Sasa si utoe mifano hai?? Vinginevyo ni majungu!Wananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.
Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya chama hiki, nafasi ya Urais katika utawala na siasa.
Familia fulani na koo fulani zinaelekea kukikumbata chama.
Najua hamuwezi kunielewa kwa sasa, ila baadae mtaelewa.
Sawa ni majungu.Sasa si utoe mifano hai?? Vinginevyo ni majungu!
Hawawezi kukuelewa wanakuona umeishiwa mawazoWananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.
Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya chama hiki, nafasi ya Urais katika utawala na siasa.
Familia fulani na koo fulani zinaelekea kukikumbata chama.
Najua hamuwezi kunielewa kwa sasa, ila baadae mtaelewa.
Watajuana wenye koo zaoWananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.
Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya chama hiki, nafasi ya Urais katika utawala na siasa.
Familia fulani na koo fulani zinaelekea kukikumbata chama.
Najua hamuwezi kunielewa kwa sasa, ila baadae mtaelewa.
Unaongelea koo kama kolomeo au koo kama Family Tree?Wananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.
Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya chama hiki, nafasi ya Urais katika utawala na siasa.
Familia fulani na koo fulani zinaelekea kukikumbata chama.
Najua hamuwezi kunielewa kwa sasa, ila baadae mtaelewa.
Wananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.
Aibu sanaNi aibu kubwa huku tukibakia kuwa machawa.
Hii ina ukweli mwingiWananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.
Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya chama hiki, nafasi ya Urais katika utawala na siasa.
Familia fulani na koo fulani zinaelekea kukikumbata chama.
Najua hamuwezi kunielewa kwa sasa, ila baadae mtaelewa.
Uzuri wa maandishi yako hayana kiulizo so hi ni statement ya mtu anae jua kilicho fanyika. Code rahisi sana hi yaaniHizo ndio familia zilizomuondoa madumu ya pombe na makomeo yake au. Acheni uzushi democrasia ilifuatwa sema tu haifanani na yenu
Tayari ipo kama genge la Mafia. Sababu kupitia CCM, Tanzania ipo kwa ajili ya familia chache, kadhaa ikiongozwa na Don, underboss,capos, soldiers, associates chini kabisa wapo machawa wanatoa sifa na kudaka makombo, favour za hapana pale.Wananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.
Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya chama hiki, nafasi ya Urais katika utawala na siasa.
Familia fulani na koo fulani zinaelekea kukikumbata chama.
Najua hamuwezi kunielewa kwa sasa, ila baadae mtaelewa.
ULIKUA HUJUI? CCM NI KIKUNDI FLANI CHA MAHARAMIA, CCM ILIKUFA NA HAYATI MWL NYEREREWananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.