Kuna hawa wadada/wanawake wa kuwa attached to Jesus. Kwa ground ni nyoka

Kuna hawa wadada/wanawake wa kuwa attached to Jesus. Kwa ground ni nyoka

Kwanza kabisa umekosea kuwajuisha wote kana kwamba tabia zao wote unazijua alafu hizo tabia za hovyo ni hulka ya mtu na sio kwa ajili ya watu wa tabaka fulani, haichagui dini wala kabila
 
Sio kwa kuwa sijawataja wavaa majuba ndo mjione mko salama. Nimejaribu tu kuzungumzia hawa wa imani yangu, huko kwenu ndo kumeoza kabisa.
Niliowa jamii ya hawa wavaa majuba,baadhi yao ni wachawi,malaya na washirikina mno,
 
Mungu ana upendo

Kama Mungu ana upendo je Kwa nini Mungu aliwaamuru Waisraeli kuangamiza kundi lote la watu, wakiwemo wanawake na watoto?

Biblia imeandika Katika 1 Samweli 15: 2-3, Mungu aliamuru Sauli na Waisraeli, "Bwana MUNGU asema hivi: Nitawaadhibu Waamaleki kwa sababu waliwapiga walipokuwa wanatoka Misri. Sasa nenda, ukawashambulie na kuangamiza vitu vyotewalivyo navyo. Usiwaacha hai ila uwauwe wote; wanaume kwa wanawake, watot wachanga na wanyonyao, kondoo, ngamia na punda. " Mungu aliamuru mambo kama hayo wakati Waisraeli walipokuwa wakiingia nchi iliyoahidiwa (Kumbukumbu la Torati 2:34, 3: 6, 20: 16-18).
 
Kama Mungu ana upendo je Kwa nini Mungu aiwaamuru Waisraeli kuangamiza kundi lote la watu, wanawake na watoto?

Biblia imeandika Katika 1 Samweli 15: 2-3, Mungu aliamuru Sauli na Waisraeli, "Bwana MUNGU asema hivi: Nitawaadhibu Waamaleki kwa sababu waliwapiga walipokuwa wanatoka Misri. Sasa nenda, ukawashambulie na kuangamiza vitu vyotewalivyo navyo. Usiwaacha hai ila uwauwe wote; wanaume kwa wanawake, watot wachanga na wanyonyao, kondoo, ngamia na punda. " Mungu aliamuru mambo kama hayo wakati Waisraeli walipokuwa wakiingia nchi iliyoahidiwa (Kumbukumbu la Torati 2:34, 3: 6, 20: 16-18).
Daah!! Mkuu mimi sio mtalaam sana kwenye maandiko labda tumwite Kiranga ashushe nondo.

ila naamini Mungu ana upendo kwa mema aliyonitendea.
 
Usaliti ni hulka, tabia n.k kama mtu ana tabia/hulka hiyo hata aweje hawezi acha ni kitu kipo kwenye damu yake.
Huyu jamaa kama Liza kila kitu.

mtu kama anatabia za umalaya hata awe mchungaji, sheekh atafanya tuu. Kwakuwa iko kwenye damu
 
Wengine ni kutaka kukuonyesha yeyey ni wa kiroho zaidi, kiasi unaona mke mwema.(Sasa mweke ndani huyo shetani uote moto wake).

wengi ndoa zao za moto,faraja ni kwenda kwenye maombi na maombezi na kuweka status.
 
Back
Top Bottom