Hivi umeshaisikia Damages ya Tems kweli wewe, unaijua Try me ya Tems kweli wewe mkuu, umeshalipa sikio lako ngoma ya Fountains Ya drake Ft Tems kweli,?
Drake mwenyewe kakalishwa kwenye ile ngoma.
Huyo unayemzungumzia muimba kaswida za kibongo fleva anaweza kumatch kweli ata Robo tu kwa tems serious,
Umeipata kwanza ep ya Tems "If Orange was a place" na kuipa sikio lako vizuri au unabuga buga tu na makelele ya Sukari na yalaa.
Mziki ni Content, siyo makelele pekee.
Boss wake alipewa shavu kidogo tu na alicia Keys kashindwa kuonyesha chochote kaishia kuguna guna tu,
Unafikiri mziki ni beat na kupiga piga makelele tu, mziki una Vitu vingi.
Good music unaishi.
Cc Zero IQ