BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.
Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla hayajatukuta mambo ya 'Father Bernard'
Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla hayajatukuta mambo ya 'Father Bernard'