Tetesi: Kuna Homa za Kubana Kifua, Kichwa na Mafua mtaani zinapiga Watu kimya kimya

Tetesi: Kuna Homa za Kubana Kifua, Kichwa na Mafua mtaani zinapiga Watu kimya kimya

Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.

Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla hayajatukuta mambo ya 'Father Bernard'

09ac181259e95cd92301abaf759f27c9687f2f9c.jpg
Mbona hudadavui,,
 
Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.

Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla hayajatukuta mambo ya 'Father Bernard'

09ac181259e95cd92301abaf759f27c9687f2f9c.jpg
Acheni Uchurroo,,
 
Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.

Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla hayajatukuta mambo ya 'Father Bernard'

09ac181259e95cd92301abaf759f27c9687f2f9c.jpg
Mimi pia ni mmoja wapo now nipo na recovery...

Mm sijachanja nilielewa somo la GWAJIMA na JPM 🇹🇿🇹🇿

Sijanywa dawa yeyote Leo siku ya 5 na recovery (Nadunda)
 
FULL STORY

Dangerous blood clots form in leg arteries of COVID-19 patients​



COVID-19 is associated with life-threatening blood clots in the arteries of the legs, according to a study published in Radiology.

Researchers said COVID-19 patients with symptoms of inadequate blood supply to the lower extremities tend to have larger clots and a significantly higher rate of amputation and death than uninfected people with the same condition.

COVID-19's association with blood clots in the pulmonary arteries is well-established. Less is known about the virus' connection to lower extremity arterial thrombosis, a condition characterized by blood clots in the arteries that impede the flow of oxygenated blood to the lower extremities.

During the peak of the COVID-19 pandemic in New York City, radiologists at the city's Montefiore Medical Center observed an increase in patients testing positive for lower extremity arterial thrombosis on CT angiography exams. The patients had arrived at hospitals with coldness, pain or discoloration of their legs.

Frequently these symptoms of leg ischemia, a condition in which blood flow to the lower extremities is restricted, were accompanied by respiratory distress, cough, fever and altered mental status.

The alarming trend prompted the researchers to look more closely at a possible connection between COVID-19 and lower extremity arterial thrombosis and whether people with the virus had a worse prognosis.

In March and April 2020, they identified 16 COVID-19-positive patients, average age 70, who underwent CT angiography of the lower extremities for symptoms of leg ischemia.

These patients were compared with 32 COVID-19-negative patients, average age 71, who underwent CT angiography with similar symptoms in previous years and who were well matched with COVID-19 cohort for demographic and clinical characteristics.

All patients with COVID-19 infection undergoing lower extremity CT angiography had at least one clot in the leg, compared with only 69% of controls.

The clots in the COVID-19 patients were significantly larger and affected arteries higher up in the leg with greater frequency than those in controls. Death or limb amputation was more common in the COVID-19 patients.

"We found that arterial thrombosis associated with COVID-19 infection was characterized by dire outcomes, namely strikingly increased rates of amputation and death, which in our series were 25% and 38%, respectively," said study lead author Inessa A. Goldman, M.D., a radiologist at Montefiore and assistant professor at Albert Einstein College of Medicine in New York City. "For comparison, the rate of both amputation and death was only 3% among controls. It is unclear whether the patients' concurrent COVID-19-related pneumonia, the virulence of the COVID-19-related clotting disorder or delayed initial arrival to the hospital contributed to these outcomes."

COVID-19 patients presenting with symptoms of leg ischemia only were more likely to avoid amputation or death than patients who had symptoms of ischemia and systemic symptoms including cough, respiratory distress or failure, hypoxia, fever, or altered mental status.

"In our cohort none of the five patients presenting with complaints pertaining to leg symptoms only, such as pain or discoloration, without systemic symptoms sustained amputation or died," Dr. Goldman said.

Dr. Goldman noted that with infection rates rising in many parts of the country, it is important that physicians be mindful of the connection between COVID-19 and lower extremity arterial thrombosis.

"Awareness of lower extremity arterial thrombosis as a possible complication of COVID-19 infection is important for all providers who take care of these patients, because early diagnosis is usually crucial for limb preservation in lower extremity ischemia," she said.

COVID-19's association with lower extremity arterial thrombosis is likely related to a combination of factors, Dr. Goldman said, including an increased tendency of the blood to clot, damage to the lining of the arteries, and immune reactions tied to the SARS-CoV-2 virus and COVID-19 infection.
"This continues to be an area of intense study around the world," she said.

Source: Radiological Society of North America
 
Ndiyo sisi wengine ni chawa wajanja. Unataka nife, ule ulikuwa ujinga sana na Rais mwenyewe wala hakuchanja ni ujanja ujanja wa kutaka hela za mabeberu. Ukitaka kuona ulikuwa ujinga na upumbavu jiulize kwanini King wa Uingereza wakati anaapishwa kwanini hapakuwa na barakoa???? Yaani King Charles ana busiana na mwanae William, yaani wale ma askofu wa lile kanisa walikunywa mvinyo kwenye chombo kimoja. Yaani katika ujinga na upambavu ambao serikali ilifanya na kudharaurika duniani kote ni chanjo tena it was a retarded mind decision kabisa. Rais Dkt Samia yeye mwenyewe anajua ila alifanya kwa sababu ya mabeberu tu
Corona is real man
 
Chanjo ilikuwa ya majaribio, na tafiti zinaonesha 2-5 years aliyechanjwa lazima afe. Soma post #48. Lazima mfe wote mliochanja in 2-5 years. Unashani Dkt Magufuli alikuwa mjinga kukataa chanjo??
Unafahamu chochote kuhusu hatua zote za majaribio ya chanjo ? Kuanzia ugunduzi, majaribio kwa wanyama, majaribio kwa binadamu mpaka uidhinishwaji wake (full approval) ?
 
Unafahamu chochote kuhusu hatua zote za majaribio ya chanjo ? Kuanzia ugunduzi, majaribio kwa wanyama, majaribio kwa binadamu mpaka uidhinishwaji wake ?
Hivyo vyote havikufuatwa na ndiyo maana wana sayansi wakalalamika ila kwa sababu wenye viwanda na makampuni ya madawa walitaka faida walikeuka taratibu zote.
 
Vipimo vya X-Ray ya kifua na CT angiography kwa wazee wetu umri wa BCM ni muhimu wanapofika hospitali.

Kutibiwa kwa kupewa antibiotics kutibu pneumonia na dalili zingine kipindi hiki cha janga la COVID bila vipimo vya daktari bingwa wa internal medicine na doctor wa radiology ili kuangaliwa ndani ya mwili kwa X-Ray n.k ni risk kubwa ...
 
Nyie mods, mmepata faida gani kufuta comment yangu, hivi mnajua naweza kuishi bila kuingia jf. Msilete ujinga wenu tena.
 
Back
Top Bottom