Corona mpya, chukuwa hatua, hakuna kaburi la kimbari utakwenda kaburini mwenyewe.
Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.
Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla hayajatukuta mambo ya 'Father Bernard'

Nomaa
Mh wazee wa taharuki
Mvua mara jua mara mvua huleta hali isiyo nzuri kwa binadamu mara zote!
Mkuu kama una mlenga kachero mbobezi, Baada ya kuhojiwa Dodoma alielekea kwenye hoteli isiyojulikana kupata chakula kizuuuri.
Hapa kachero anaweza kuwa alipata chakula kutokea kwenye hoteli inayojulikana.
Kama nchi tuna tatizo la kukubali vifo vya watu bila Postmortem wala inquest.
Kenya wametuzidi Santa kwenye haya imebakia bwana alitwaa na kutwaa.
Thanks for sharing.
Kuleni mifumo ya k veve na castle lite hakunaga homa mtaona
Mimi nathibitisha jambo hili kwani kwa wiki moja sasa nimekuwa nabanwa kifua na kuumwa kichwa kwa mbali wakati wa usiku lakini nikiamka hali ni shwari. Mama alipatwa na mafua kali wiki sasa na haijawahi kumtokea hivyo miaka mingi. Kuna kaupepo kabaya kanapita nahisi ni korona ila strain nyingine ya virus ambayo baadhi yetu hatuna kinga nayo lakini naamini haitakuwa na madhara sana.
DUh!
Itabidi kurejelea tangawizi, limau, nk
Aisee basi tupo wengi, nimepigwa na mafua na homa kali zaidi ya wiki 3 Hadi Leo hii bado kichwa kinauma Tu ingawa mafua yameponaHili ni kwli kabsa....binafsi imenitokea
Aisee basi tupo wengi, nimepigwa na mafua na homa kali zaidi ya wiki 3 Hadi Leo hii bado kichwa kinauma Tu ingawa mafua yamepona
Nimetumia kila Aina ya dawa za mafua lkn bado ilishindikana