Tetesi: Kuna Homa za Kubana Kifua, Kichwa na Mafua mtaani zinapiga Watu kimya kimya

We jamaa ,Kwa hiyo hutaki kukubali Kuna COVID?

Leo hii Kwa kuwa hujapewa CHAKO Cha udalali wa COVID ndo unaongea pumba hzi.

Nyau wewe
 
Chanjo ilikuwa ya majaribio, na tafiti zinaonesha 2-5 years aliyechanjwa lazima afe. Soma post #48. Lazima mfe wote mliochanja in 2-5 years. Unashani Dkt Magufuli alikuwa mjinga kukataa chanjo??
Magufuli alikuwa mjinga kukataa chanjo, ndiyo maana alikufa
 
Haya mabadiliko ya hali ya hewa sio pouwa hasa mvua zinapoelekea kuisha na kuanza msimu wa kiangazi ni shida
 
Jilock down mkuu... Msitusumbue
 
Aina mbalimbali za Ugonjwa wa COVID-19 wafafanuliwa na tabibu bingwa wa magonjwa ya ndani ya mwili Prof. Harun Nyagori

Prof. Harun Nyagori Atoa ufafanuzi Kuugua baada ya chanjo



Prof. Harun Elmada Nyagori is among the experienced Consultant Physician-Cardiologist in the United Republic of Tanzania. • With super speciality in cardiology, Prof. Harun Elmada Nyagori received his Doctor of Medicine degree, Master of Medicine in internal medicine and Master of Science at Lugansk State Medical University in Lugansk, Ukraine.
 
Mkuu hii kweli kabisa,na sijui ni kitu gani mi inanikimbiza week.sasa
 
Aisee basi tupo wengi, nimepigwa na mafua na homa kali zaidi ya wiki 3 Hadi Leo hii bado kichwa kinauma Tu ingawa mafua yamepona
Nimetumia kila Aina ya dawa za mafua lkn bado ilishindikana
Mkuu mwenye nimetumia dawa nyingi nazoziaminia naona ngoma imesmama karibia week naa inanpiga tu..Kuna moja nimepata juz ndo angalau mafua yametulia ila bado kichwa hakijaka sawa
 
Pumu na presha ndo vinamsumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…