Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hahaa nenda posta, mbezi beech, masaki am obey uta zikuta.Wasau hamjamboni nyote?
Je maeneo ya mbagala Jijini Sar es salaam kuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota nne au tano?
Natarajia mgeni kutokea ighaibuni anayependelea kufikia huko
Karibuni
Muelewesheni nyie mnaofahamu MkuuHebu rudia kusoma ulichoandika
Hata sinza hakuna five star hotelMbagala ni eneo la makazi. Mpeleke Sinza huko hoteli kama zote.
Za 5 star nyingi utazipata mbugani huko.Hata sinza hakuna five star hotel
Unless hapa hatuzungumzii five star hotel
What's this rabbish - hii humu jukwaa la siasa inafanya nn?Wasau hamjamboni nyote?
Je maeneo ya mbagala Jijini Sar es salaam kuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota nne au tano?
Natarajia mgeni kutokea ighaibuni anayependelea kufikia huko
Karibuni
Kama anapendelea kufikia huko, kwanini asifikie pale ambapo huwa anafikia siku zote?Wasau hamjamboni nyote?
Je, maeneo ya Mbagala Jijini Dar es Salaam kuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota nne au tano?
Natarajia mgeni kutokea ighaibuni anayependelea kufikia huko.
Karibuni
Ameamua kuikashifu Mbagala kivingine..!!Hebu kuwa serious...hotel za nyota tano unazijua?
Nyota tano isiwepo kinondoni wala Kariakoo..uende kuikuta Mbagala??
Au wewe unafikiri hotel ya ghorofa yeyote ni nyota tano??
Hotel kama zote, za five stars? Unakujua Sinza au unajisemea tu? AU hujui hotel ya five star ilivyo?Mbagala ni eneo la makazi. Mpeleke Sinza huko hoteli kama zote.
hata ta nyota 2 haipoWasau hamjamboni nyote?
Je, maeneo ya Mbagala Jijini Dar es Salaam kuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota nne au tano?
Natarajia mgeni kutokea ighaibuni anayependelea kufikia huko.
Karibuni
Nakuona unavyo saga mua. Ngoja tusubiri wanaozagamua nao waje ku comment 😀Hotel kama zote, za five stars? Unakujua Sinza au unajisemea tu? AU hujui hotel ya five star ilivyo?