ahaaha aisee nina wasiwasi na uraia wako uko blok C nilikua na marafiki zangu huko tulikuwa tunatoka hata saa 4 tukichoka kusoma tufata tost hahahah aisee mkuu akujua wewe
Niliishi block C na mimi ila fst year
Siku moja moja ila nilikua muumini wa mama kifusi siku nikiwa nazo najichanganya kwa mpembayule mama hata maandazi yake makubwa
hivi HUKUWA MUMINI WA VICTORIA NA kcc????
Siku moja moja ila nilikua muumini wa mama kifusi siku nikiwa nazo najichanganya kwa mpemba
hahaha utakuwa una uraia pacha....mis thoz life blok G
Block G kwa kuzimia moto na na disk ila niliwahi lala adi asubuhi sababu ndani joto lilizidi na nilikua naishi na watu wa mbeya wao kuoga mara moja kwa wiki
wali wa mpemba mmh sijui anaweka yeast maana unakula leo unasikia njaa baada ya siku 2
nimemis chapati za kwa mama muarabu
hahahah mkuuu acha kabisa aisee hapo hata ukiwa huna ela pa kula haukosi na kushiba unashiba
hapo kona hapo kuna mkaka mweusi tiii anapikaga miogo kona kama unaenda victoria sijui bado yupogo
Block G kwa kuzimia moto na na disk ila niliwahi lala adi asubuhi sababu ndani joto lilizidi na nilikua naishi na watu wa mbeya wao kuoga mara moja kwa wiki
Yule jamaa nilimpa AKA ya muogo mchungu nilikua sikosi kwake mana nilikua naongezewa hata mi3
We jamaa kama nakujua, Mabibo ulikaa kidogo ukahamia Kibangu, then Msewe or kwa Golani
hahahahaha aiseee mkuuu watu walikuwa wanajaa pale kama anagawa bure
mkuu umesahau ukoko wa kafeteria ya coet 500 tu fuko linajaa
We jamaa kama nakujua, Mabibo ulikaa kidogo ukahamia Kibangu, then Msewe or kwa Golani
mi napendaga menyu yao ya mamboga mboga aisee na njegere
Mkuu ujaongea uongo upo sahihi kabisa
Mwenyewe nahisi hivo, wali gani unashiba balaa,
Mama Mwarabu naskia bado snakimbiza, mi nilkua naenda ile jioni nachukua Biscuit na juice, then napitia pale kwa kina mama wanauza mikate nachkua mmoja wa bukuuuu huyooo
Basi nimekupata mkuu, mi ni rafiki yako wa karibu sana, sema tuendelee hivi hivi