Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kimvulana nyayo zake zimeungua nin?!😄😄😄
🤣🤣🤣Sikuhizi nacomment kulingana na mihemko ya mwili sikuhiyo,nikiwa na joto la mbuzi jike utanijua tuSikuhizi hujachachuka kabisa, una comment kistaarab sana😂😂😂
Hahahahahahaaaa…wachaaa kabisaaBaada ya kukuchunia kwa muda mrefu unafanikiwa kumshawishi akusamehe, anaridhia, anakutamkia kwa sauti iliyojaa upole na mahaba "Ila baby usirudie tena"
kinachofuata hapo mnaangaliana machoni kwa hisia kali, kiss na mikumbatio ya nguvu, baada ya hapo mnatupana kuingia uwanja wa 6x6,
mechi huwa inapigwa mwanzo mwisho bila mapumziko kwa staili moja ama mbili tu hainaga makeke ya kuonyeshana ufundi wa kubadili badili staili
sijui inakuwaga nini ile, kila mtu anamuona mwenzie kama mpya