Kuna injini mbadala wa Pajero GDI?

Kuna injini mbadala wa Pajero GDI?

b-katembo

New Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4
Reaction score
2
habari zenu wana jamii forum.
naomba kupata ushauri kutoka kwenu kama kuna substute (mbadala) engine ya Pajero GDI.
Bodi ya gari hizi ni nzuri na imara so i need to change engine only. pia naomba kujua gharama za kununua engine iwe nwe au used vyovyote.
 
Bro unashindwa ku search online? Injini yako ina shida gani? si ufanye overhaul inakuwa mpya...Mitsubishi ni gari imara sana na spea zipo kibao.
 
Bro unashindwa ku search online? Injini yako ina shida gani? si ufanye overhaul inakuwa mpya...Mitsubishi ni gari imara sana na spea zipo kibao.
bado engine ni mpya na haina shida but nataka tu kubadilisha coz nasikia kuna engine zinaweza kuingia
 
Noah kuna 4s, 3s ni ipi exactly? na almost iligharimu sh. ngapi?
naona mkuu unatafuta ushauri wa kuuza smart phone na kununua nokia torch. unachotaka kufanya ni uhalibifu mkubwa kwenye gari utaanza kutembea na gari iliyo ungwa ungwa drive shaft na maounting unaharibu kabisa gari.
 
Bro uaiharibu gari. Engine GDI ni bomba. Mimi ninayo gari hii miaka 3 sasa with engine yake 4G94 H77W 1990cc model ya gari 2003 iko bomba. nimepiga nayo dar-mza mza-dar, dar-tanga tanga-dar, dar-lindi lindi-dar hakuna matatizo yoyte ya engine.
Kitu muhimu ipende gari yako fanya service ontime oil weka nzuri na oil filter ya toyota original.
Nategemea kupiga nayo dar-makambako-njombe-kitulo-mbeya-tunduma-rukwa-katavi-skonge/kigoma to tabora to mwanza.
 
Gari mitsubishi ila filter aweke za toyota, how??
 
Back
Top Bottom