proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Ila kweli bora nipotezeeNakushauri ukaushe tu
Ndio ivo hio ni sadakaHiyo fanya km umetoa sadaka,tafuta nyingne
Pole
Kumpata ni shida kweli kweli itakua amejichimbia kwan jamaa alikua anajiamin mno bac ndo ivo tena kaoshwaKuwa mpole, fanya uchunguzi taratibu² utampata tu
pole mkuuKumpata ni shida kweli kweli itakua amejichimbia kwan jamaa alikua anajiamin mno bac ndo ivo tena kaoshwa
Ci bora tu ata ningemvua mtu pichu duuu japokua na yenyewe ni zeroFanya kama umempa mchepuko tu alipie kodi
I will never give upsiku ukimpata hewani mwambie hizo pesa ulompatia zilikuwa feki akurudishie
Kumbe naekupata kupata kesiDah usimsakame kuna mmoja kajinyonga kisa vyeti feki