Kuna jamaa ananipa mawazo hata cjui nifanyeje

Kuna jamaa mmoja ni mwalimu alinikopa laki tatu nikampa akaniahidi atarudisha mapema lkn hadi sasa ni miezi sita imepita kwenye cm hapatika halafu cha kushangaza zaidi ameibainika alikugushi vyeti na ameshakimbia jamani nifanyeje.?[emoji15] [emoji15] [emoji36] [emoji36] [emoji24] [emoji24]
assume hiyo pesa ulimpa kama ya rambi rambi Mkuu
 
Kuna jamaa mmoja ni mwalimu alinikopa laki tatu nikampa akaniahidi atarudisha mapema lkn hadi sasa ni miezi sita imepita kwenye cm hapatika halafu cha kushangaza zaidi ameibainika alikugushi vyeti na ameshakimbia jamani nifanyeje.?[emoji15] [emoji15] [emoji36] [emoji36] [emoji24] [emoji24]
Nakushauri shukuru na usamehe wala usisononeke Mwenyezi Mungu atakupa kilicho bora zaidi ya ulicho poteza ila Muhimu usichoke kusaidia mtu mwenye uhitaji akikujia kuomba msaada ikiwa uwezo wa kumsaidia unao hilo nibora zaidi.
 
Wasiliana na Mshana Jr akupe miziziology ila atakudai laki 4.5! Sasa chagua moja, uongeze kupoteza pesa au upotezee?
 
Kuna jamaa mmoja ni mwalimu alinikopa laki tatu nikampa akaniahidi atarudisha mapema lkn hadi sasa ni miezi sita imepita kwenye cm hapatika halafu cha kushangaza zaidi ameibainika alikugushi vyeti na ameshakimbia jamani nifanyeje.?[emoji15] [emoji15] [emoji36] [emoji36] [emoji24] [emoji24]
Kausha tu laki tatu isikupe msongo wa Mawazo ndugu.Ila vyuma vimekaza
 
Back
Top Bottom