Kuna jamaa ananipa mawazo hata cjui nifanyeje

assume hiyo pesa ulimpa kama ya rambi rambi Mkuu
 
Nakushauri shukuru na usamehe wala usisononeke Mwenyezi Mungu atakupa kilicho bora zaidi ya ulicho poteza ila Muhimu usichoke kusaidia mtu mwenye uhitaji akikujia kuomba msaada ikiwa uwezo wa kumsaidia unao hilo nibora zaidi.
 
Wasiliana na Mshana Jr akupe miziziology ila atakudai laki 4.5! Sasa chagua moja, uongeze kupoteza pesa au upotezee?
 
Kausha tu laki tatu isikupe msongo wa Mawazo ndugu.Ila vyuma vimekaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…